Ukitaka kujua athari tunazopata Tz kwa uamuzi wa tcra kuzuia baadhi ya watoa huduma za ving'amuzi angalia channels za jirani zetu Kenya
Channel kwa channel
KTN,Citizen,K24,nk....wana mada nzuri...
Ijapo najua hii itakuwa sio mada furahishi sana humu kuichangia nilitaka kujua tu,ila hili neno(Mapangaboy) lilikuwa na Tani za kutosha kipindi kile Magufuli alipoleta ndege mbili za kwanza.
Na...
Habari Ndungu zangu kwa majina naitwa Marathon Muziki, kijana ambaye ni Msanii underground but kuna shida moja imenikumba mara 3 kupitia instagram.
Hivi karibuni instagram ilitangaza kuboresha...
Mzozo ulioibuka baina ya Spika Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad limepelekwa ngazi nyingine baada ya kongozi wa chama cha ACT- Wazalendo...
Mambozz,
Naomba kuuliza swali la msingi. Hv tunaponunua LUKU kwa mitandao ya simu au kwa MaxMalipo tunakatwa kiasi gani au asilimia ngapi ya kulipia huduma hiyo?
Maana nimegundua nikiwa na salio...
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) linajenga mtambo wa kuzalisha umeme wa megawati 400 ambao utatosheleza mahitaji ya nishati hiyo katika jiji la Dodoma. Akikagua mtambo huo unaojengwa katika eneo la...
Kenya ni jirani mwema lakini pia ni mshindani wetu kwenye nyanja za kiuchumi hususan utalii.
Namna moja ya kushindana nao kwenye sekta ya utalii ni kutangaza na kutembelea vivutio vya kwetu, sio...
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Marangu Coach, ambalo linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Arusha, limepata ajali leo Januari 11, 2019 nje kidogo ya maeneo ya Uwanja wa ndege wa...
Ila sijui mtu unaingiaje huko
Naombeni kibali au sijui nini nipate nami nifike nikae nimsikilize na kumuona Rais wetu leo. Sijawahi kukutana nae hata kumuona zaidi ya pichani, video na news n.k...
Abiria wengi wakitaka kukata ticket ya shirika la ndege nahisi hatua ya kwanza huwa ni kutembelea tovuti yao.
Tovuti ya ATCL japo sio mbaya ina mapungufu mengi mno ambayo yanamkatisha mtu tamaa...
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi...
Waziri wa Kilimo tunaomba tulipeni hela za korosho tuwai kulimia(palizi), kufyekea vinginevyo kutatupunguzia kilo mwakani
Suala la uhakiki wa mashamba mfanye baadae nawashauri.
Sent using Jamii...
Mkoa wa Dar es salaam umetekeleza maelekezo ya Rais Dkt. John Magufuli ya kuanzisha Bima ya Afya ya Wananchi ambayo inawawezesha wafanyakazi walio kwenye Sekta isiyo rasmi kupata huduma za...
WANAFUNZI 2,610 kati ya 8,038 waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza kwa mwaka huu katika Halmashauri ya jiji la Dodoma, wameshindwa kujiunga kutokana na upungufu wa vyumba vya...
Hii ya kuwa bongo itakuwa kama ulaya ni kwa muda gani uliobaki? Tangu lini wakuu wa nchi wakarithishana hizi sera na mikakati? Tunaona kila akiingia rais anakuja na mipango yake. Leo ndege za rais...
Habari zenu wanajamvi?
Natumai my wazima wa afya na munaendelea na majukumu ya kila suku vizuri!
Twende moja kwa moja kwenye mada!
Jana wakati natoka sehemu moja inaitwa NDALA mji mdogo wa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua ubora na ubaya wa magari ya aina ya Spacio,na pia natakiwa kuzingatia vitu gani vya msingi?
Asanteni kwa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.