Tofauti ya msomi aliyeelimika na asiyeelimika....

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Wakati vijana hawa watatu wa Kitanzania wanarusha Ndege ya Taifa lao kutoka CANADA mpaka hapa TANZANIA...yeye Tundu Lisusu anarusha Makombora kutoka Ubeligiji mpaka Tanzania...hii ina Maana Gani!?

Hii ina maana kwamba kuna tofauti kubwa sana kati ya KUSOMA na KUELIMIKA...Msomi aliyeelimika hutumia elimu yake kwa manufaa yake na jamii kwa Ujumla ila Msomi ambaye hajaelimika ni yule anayetumia elimu yake kwa manufaa yake binafsi...Povu Time

Rasco boy
FB_IMG_1547306023580.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rasco boyView attachment 992639

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anateseka kwani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe atakapo maliza muda wake halafu nikaingia ikulu, hakianani atapata tabu sana. Nitamsukuma ndani yy na washirika wake wote ukiwemo ww na Bashite
 
daaah so sad..
lisu anakusaidia ww mbumbu siku ukiumwa usife et kwa sababu umeme umekatika hospital..
anamsadia na mtoto wako alieye primary akimaliza asirud mtaan apate kazi, den ww unasema et ni msomi asielimika daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati vijana hawa watatu wa Kitanzania wanarusha Ndege ya Taifa lao kutoka CANADA mpaka hapa TANZANIA...yeye Tundu Lisusu anarusha Makombora kutoka Ubeligiji mpaka Tanzania...hii ina Maana Gani!?

Hii ina maana kwamba kuna tofauti kubwa sana kati ya KUSOMA na KUELIMIKA...Msomi aliyeelimika hutumia elimu yake kwa manufaa yake na jamii kwa Ujumla ila Msomi ambaye hajaelimika ni yule anayetumia elimu yake kwa manufaa yake binafsi...Povu Time

Rasco boyView attachment 992639

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wasomi humu kazi yao ni kusoma hotuba za rais na kuanza kulalamika JF. Wakati wenzao wakirusha pipa kuja home

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu hana ishu ni kibaraka tu wa wazungu wale waliozuia ndege ya kwanza yeye ndio alichora mcholo wote na wanamlipa kwa kazi yake ya kulisaliti Taifa lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*OFA OFA OFA *
IPHONE 5s
16Gb
Brand new
Brand new accesories
300k
All colours[emoji390]

Samsung A7 (2015)
Brand new
Brand new accesories
320k
All colors[emoji390]

Samsung galaxy J7(2015)
Brand new
Brand new accesories
All colors[emoji390]

Call [emoji338]0716119347

Free delivery[emoji593][emoji593]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom