Je Unawajua MAHIJRA wa India?!

Je Unawajua MAHIJRA wa India?!

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
61,236
Reaction score
98,436
Hawa jamaa ni Mwisho wanaishi katika maisha ambayo inasemekana ni ya Kidini Kihindu.

Huamua kukata sehemu zao za siri na kuishi kama Wanawake,pia huvaa Nguo za Kike yaani Sari.

Jambo la kushangaza hakuna hata NGO moja inayosema kuwa huo ni Ukeketaji na Unyanyasaji wa Kijinsia HIJRA kama wanavyoitwa huko India pia huitwa kwenye Sherehe mbalimbali za Kijamii kama harusi nk.

Mahijra pia hujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
 
hijra_mehedi-hasan_20.12.17.gif
hijra.jpg
 
924300_63359292.jpg

Ukitaka "kupumzika" na HIJRA mmoja ni Rupee Chache tu..kama 5000 za hapa.
 
Hijra_Kolkata_2013.jpg

Hijra wa Kolkata INDIA.
 
image-1.jpg

Kuna wengine unaweza kuingia Kingi.
 
166733871.jpg

Mzee wa KIHIJRA akiwa katika Mishemishe zake huko Kolkata INDIA.
 
450px-Hijra.jpg

Kijana wa KIHIJRA akiwa amekula "pozi"lenye kusisimua.
 
Katika familia hii jamii huwa wanawachagua vijana wadogo sana,kisha hufanya sherehe kubwa sana ikiambatana kuwakata uume wao.

Baada ya hapo huwachomekea mpingo uliochongwa Vizuri katika njia ya haja kubwa hadi Damu inapowatoka...ndipo Vigelegele hupigwa na inasemekana damu ikitoka kijana anavunjika na kuwa mwanamke.
 
BollyWood huwezi kuwaona hawa.
 
Kuna baadhi ya Picha za HIJRA wakati wanakatwa Uume kwakweli huwezi kuziweka hapa...anyway lakini wao wanasema wanamuenzi moja ya miungu wa Kihindu.
 
Back
Top Bottom