Ajali: Basi la Kampuni Arusha Express lagongana na gari ndogo maeneo ya Nyang'oro

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Arusha Express ambalo linalofanya safari zake kati ya Arusha kwenda Mbeya limepata ajali leo Januari 12, 2019 kwa kugongana na gari ndogo maeneo ya Nyang'oro njia ya Dodoma kwenda Iringa.

Taarifa za awali zinasema kuwa kuna vifo na majeruhi kadhaa ambao idadi yake bado tunafuatilia pamoja na kukukujuza zaidi chanzo hasa cha ajali hii..!
IMG_20190112_184929_386.jpeg
IMG_20190112_184917_336.jpeg
IMG_20190112_184903_995.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo cha ajali ni nn?
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Arusha Express ambalo linalofanya safari zake kati ya Arusha kwenda Mbeya limepata ajali ya kugongana na gari ndogo maeneo ya Nyang'oro njia ya Dodoma kwenda Iringa.

Taarifa za awali zinasema kuna vifo na majeruhi kadhaa ambao idadi yake bado haijukikani.

Tutakujuza zaidi chanzo hasa cha ajali hii..!View attachment 992651View attachment 992653View attachment 992654

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uwe dereva wa gari LA abiria (basi) , ni lazima uwe na mafunzo ya ziada. Cha kushangaza sasa. Hawa madereva wenye mafunzo ya ziada ndiyo wanakuwa hatari zaidi wawapo barabarani.. Wazo langu ni kwamba ,... Kama wamepewa mafunzo ya ziada na wanabeba roho nyingi za watu. Adhabu yao iwe zaidi. Watungiwe sheria na adhabu tofauti na sisi tunaoendesha Vitz ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ghazwat wewe ni noma aisee..naona habari nyingi za ajali unakua wa kwanza kutujulisha..anyway sio kesi..nikirudi kwenye ajali pole kwa wote waliopoteza ndugu na tunawaombea majeruhi wapone haraka.
 
Ili uwe dereva wa gari LA abiria (basi) , ni lazima uwe na mafunzo ya ziada. Cha kushangaza sasa. Hawa madereva wenye mafunzo ya ziada ndiyo wanakuwa hatari zaidi wawapo barabarani.. Wazo langu ni kwamba ,... Kama wamepewa mafunzo ya ziada na wanabeba roho nyingi za watu. Adhabu yao iwe zaidi. Watungiwe sheria na adhabu tofauti na sisi tunaoendesha Vitz ..

Sent using Jamii Forums mobile app

Adhabu kwa kosa lile lile wewe unataka adhabu nyepesi ila wengine? Hii ni Tanzania tu ambako manyani huona mak...u ya wenzao si ya kwao.

Pathetic!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom