Kwa hisani ya watu wa Marekani(wahisani)

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
3,344
Reaction score
3,824
Kwa hisani ya watu wa Marekani

1)Wametoa misaada mingi ya AFYA..ikiwemo madawa ya kufubaza mavirusi ya UKIMWI madawa ya UKIMWI.
kusaidia wagonjwa wa UKIMWI kuwapatia dawa za bure
Malaria dawa mseto za malaria vyandarua mpaka kondomu
na misaada mingi ya kibinamu,kielimu,afya na kadhalika..misaada mingi sana..

2)kutujengea matundu ya vyoo mashuleni..watoto wetu waweze kujisaidia vizuri..kwenye matundu ya vyoo
shule za kata..n.k

3) kutujengea mabarabara

Misaada mingi sana sana huwezi kuimaliza kuitaja misaada mingi mingi sana sana KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI kuliko taifa lolote duniani.

Lakini hawa tunaowaita wahisani jumuiya za kimataifa wanapopaza sauti kukemea ukiukwaji wa haki za kibinadamu,kupinga UVUNJAJI wa haki za kibinadamu tunawabadilishia majina kutoka WAHISANI mpaka kuwaita MABEBERU . wanatuingilia mambo yetu ya ndani wanajifanya ni watawala wetu..,kisa tu wanakosoa ukandamizaji na dhuluma za haki za wanadamu wengine.

KAMA hawa WAHISANI au MABEBERU kama mnavyowaita kama wameongea UONGO si wapingwe kwa hoja ,HOJA hupingwa kwa HOJA na TAFITI(Kwa kutumia wasomi wetu tulio nao MAPROFESA)

Kuliko kuwaita majina MABAYA ,kuwaita MABEBERU haitaondoa ushahidi ya HISANI YA WATU WA MAREKANI inayoishi.

images - 2026-05-27T181156.730.jpeg
images - 2026-05-27T181130.690.jpeg
 
Kwani kumuita beberu ni kosa?
Peleka hlo kwa kiingereza utajua kuwa hata wao wanajiita hvo

-wasitumie changamoto za tanzania kuingiza ujinga wao
 
Waislamu waarabu awajawahi kutoa hata pipa moja la lami la kujenga barabara...arafu ndiyo tunawaita wawekezaji....kazi yao ni kujenga misikiti tu matako yao
 
eeeehh,
so what for example gentleman? :pulpTRAVOLTA:
 
Waislamu waarabu awajawahi kutoa hata pipa moja la lami la kujenga barabara...arafu ndiyo tunawaita wawekezaji....kazi yao ni kujenga misikiti tu matako yao
ni ndugu zetu katika imani...
walituletea dini na lugha

wamissionaries
walituletea SHULE,HOSPITALI huduma za kijamii na DINI
 
Kama una rasilimali nyingi na Bado upo masikini kwanini wasikujambawazi😃😃😃
Ni sawa na wewe uende nchi Moja ukute watu wake ni masikini na dhahabu wanachezea bao. Utaendelea kuwaangalia wakitumia dhahabu kuchezea bao? 😃😃😃
Ila sisi binadamu ni matraco kweli tukijambaziwa tunaumia kumbe hata sisi tunaweza kujambaza
 
are you looking for tension or useless public sympathy :pulpTRAVOLTA:
diplomasia mahusiano na jumuiya za kimataifa ,wahisani au mabeberu,yana athiri mpaka wewe,kama huamini , hawa mabeberu tunaowaona SO WHAT ? siku wakikata misaada yao kwetu au wakituwekea vikwazo ,ndio tutajua so what

RAI yangu DIPLOMASIA idumishwe badala ya maneno kama so what,who are you...tunawategemea na kuwahitaji WAHISANI kuliko wao wanavyotutegemea na kutuhitaji...sisi ni masikini tunaowategemea kama huamini kuwa tunawahitaji kuna siku utapata jibu la swali lako la so what
 
Attachments

  • images - 2026-05-27T191333.054.jpeg
    images - 2026-05-27T191333.054.jpeg
    37 KB · Views: 9
Back
Top Bottom