Kuna habari kuanza mwezi huu wa kwanza malipo ya wastaafu yatapitia benki ingawa NSSF wamekata mawasiliano na wastaafu.
Inawezekana ukata wa kifedha umewakatisha tamaa lakini wakumbuke...
Naanza kwa kusema HATUJACHELEWAA,Mara chache sana nchi kukupa siri ya mafanikio yake mpaka kufikia hatua ya maendeleo iliyofikia.
Imani yangu mimi naamini sekta ya UTALII inazitoa nchi nyingi sana...
Habari wana jamvi.
Ilikuwa miaka ile tukiwa wanafunzi, miezi michache tufanye necta form six. Kipindi hicho voda wana tangazo lao hilo mdada analalamika umenikanyaga( kama una kumbukumbu utajua...
RAIS wa zamani wa INDIA, Dr. Abdul Kalam, alipata kusimulia;
"Siku moja usiku, nilipokuwa mtoto, nakumbuka kumwona MAMA yangu akituletea chakuka mezani nikiwa na BABA.
MAMA aliniwekea sahani ya...
Nipo hapa Igombe wilaya ya Ilemela jijini Mwanza kwa mwenyeji wangu ambapo nimekaa siku tatu sasa. Nimeshuhudia uvuvi haramu wa kutumia kokolo kwa kasi ya kutisha, yaani juhudi zote zilizokuwa...
Mnamo tarehe 16-1-2019 nimekopa salio kupitia huduma ya airtel inayopatikana kupitia menyu *149*99# >1 ofa maalumu >3 kopa bando >4 kopa salio. katika kipengele cha namba 3 hapo kuna option za...
Naombeni kwa wanaojua kuhusu hizi sheria za mirathi, Kama marehemu alikuwa mtumishi wa umma lakini alistaafu na kulipwa kiinua mgongo chake sasa hapa vipi baada ya kufariki familia yake hupewa...
Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth msafiri ametoa ruhusa kuvaa sale za elimu ya msingi kwa wanafunzi ambao wamefanikiwa kufaulu elimu ya msingi na kushindwa kujiunga na elimu ya sekondari kutokana na...
Habari wakuu!!
Kuna jamaa mlemavu wa ngozi (Albino) ameomba nimnunulie mafuta ya kupaka (maalumu kwa ngozi za wenye albinism).
Nilipomuuliza jina la mafuta hayo, akasema hafahamu jina lake...
Polisi wanatukanwa na kudharauliwa watu wakiwa wamekaa kwa amani wanakula,wanapumua, wanalala kwa amani zote pakichafuka wanaonekana wa muhimu sana #raia tuache dharau ona apo wote wapo mgongoni...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imekusanya jumla ya TZS 94.01 bilioni kutoka kwa wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu katika kipindi cha Julai – Desemba, 2018 na kuvuka lengo lake...
Akiteuliwa 2020 atapata shida sana kumwangusha magufuli. Ila 2025 i see CCM down tena kwa mbali sana. I love my country i love Magufuli.
Labda atokee mtu from no where kitu ambacho ni kigumu sana...
WAFANYAZI WAWILI KAMPUNI YA AIRTEL, WENGINE TISA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUINGILIA MIFUMO YA MAWASILIANO
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii
WAFANYAKAZI wawili wa Kampuni ya Simu ya...
Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi
Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..
Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa...
Kwa kipindi kirefu mfanya biashara huyu anaejihusisha na biashara ya usafirishaji amekuwa ndio chanzo cha kuiharibu barabara inayotokea CBE kuja kuzunguka nyuma ya chuo cha veta.
Malori ya huyu...
Kuku wa kisasa ni kama siyo kiumbe hai. Ukimweka mahali hastuki kabisa. Ni mjinga mjinga sana. Anaendeshwa na madawa tu na vyakula kama binadamu. Mnaini mpaka basi.
Kuku wa kisasa anayetaga ndo...
Jaji Mkuu wa Tanzania amemwandikia barua Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu kumtaka ashughulikie suala la Mahakama Kuu kukataa kupokea shauri la Zitto Kabwe na wabunge wanne wa upinzani la kupinga...
Dudu gani lilitokea Zanzibar Januari 12, 1964?
Na Ahmed Rajab
MIAKA 55 imetimu tangu yalipotokea yaliyotokea Zanzibar Januari 12, 1964 na bado tunajiuliza: nini hasa kilitokea?
Tunajua kwamba...
Tujichangishe wananchi hata kama tunalipa kodi still its obvious mapato wanayopata hayatoshelezi mahitaji ya wananchi.
Wizara kama afya, elimu etc hazitakiwi kubanwa kisa budget ndogo. Eti watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.