Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Tujichangishe wananchi hata kama tunalipa kodi still its obvious mapato wanayopata hayatoshelezi mahitaji ya wananchi.
Wizara kama afya, elimu etc hazitakiwi kubanwa kisa budget ndogo. Eti watoto warudi/wabaki nyumbani kisa wamekosa mkopo kusoma vyuoni?! Na sisi tunaridhika kabisa? Wanaopata mkopo ni wachache ku make impact yoyote.
Tukipitisha harambee idadi kubwa ya watoto watapata education na tutasonga mbele kama taifa.
Becky