MOJA ya habari kubwa ambayo ilitawala vyombo vya habari jana, ni ile iliyohusu wananchi watatu maarufu wanaharakati waliokamatwa wilayani Ngorongoro na Jeshi la Polisi kisha kudaiwa kuteswa...
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa maafisa elimu wa halmashauri sita za mkoa wa Mara huku Wakurugenzi Watendaji wa halmashauri hizo.
Watakiwa kujieleza...
Freebasics ni kielelezo cha umaskini japo Mimi binafsi sio maskini ila napenda kuwaunga mkono wazee wa free aka mteremko
Najua kuna features hatuzipati kwakuwa fb lakini pia hamuoni video na...
Kwa wadau na wasio wadau wa mambo ya utabiri, horoscope, astrology, sign of zodiac ,na mambo ya utabiri wa nyota mbalimbali kuhusu yale yatakayotokea duniani ama kwa nchi mojamoja ama kwa...
Wandugu nimeibiwa Gari aina ya Noah T364DJV Leo usiku tar 21 maeneo ya bunju Usalama sambaza ujume magroup ukiona piga
0754689424 Mr. Shoo au
0655535051 Mr.Mwinyi
Ndoto ni kitu cha kawaida kumtokea mtu akiwa amelala usingizi au amesinzia, kwa yule ambae hajalala usingizi au hajasinzia hali kama hiyo inaitwa kuwaza, au wanabeza kuita ndoto za mchana.
Toka...
Kutoka ukurasa wa Twitter wa Mchokozi Ole Mtetezi
Vijana Watano Wa Wilaya Ya Ngorongoro Wana Hali Mbaya Kutokana Na Vipigo Na Ukatili Waliofanyiwa Na Askari Wa Jeshi La Polisi. Vijana Hao...
Clouds FM asubuhi ya leo katika taarifa yao ya habari ya saa moja wamecheza audio ya tukio la askari polisi wa trafiki kule Songwe kumshambulia dereva na kisha mmoja wao kymng'ata dereva.
Dr...
Kumetokea mafuriko makubwa huko Dumila na kusababisha kutopitika kwa barabara ya Morogoro-Dodoma. Mpaka sasa watu ni wengi na magari pia. Mkuu wa mkoa anaelekea eneo la tukio.
SOURCE: RADIO ONE...
NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUTOA KILIO CHANGU KWA ADHA YA PANTONI TUNAYOPATA WAKAZI WA KIGAMBONI KWA MIDA YA ASUBUHI NA HASA KUANZIA SAA MOJA MPAKA MOJA UNUSU. HALI NI MBAYA SANA KWANI ABIRIA...
Huu ni ujumbe wa kukumbushana tu.
Watu wa dini, ambao dini zenu zinataka mbatizwe au mbatize watoto wenu, wabatizeni kwa majina yao ya asili, ya kiafrika, achaneni na majina ya kikoloni...
Habari wakuu,
Nimetafuta jukwaa la fedha au malalamiko sijaliona, so kama haifit hapa mnisamehe.
Iko hivi, jananimekwenda kulipa ada kwaajili ya kijana wangu anaanza Kidato cha kwanza (shule ipo...
Twende kwa mada wapendwa;Kwa ujumla nimebahatika kuitembelea nchi yangu pendwa karibu mikoa yote na miji na majiji yake yote kasoro tu sijawahi kufika Zanzibar na Tanga.
Pia nimebahatika...
Kuna Mtu mmoja aliniambia kwamba nchi ambayo huwa inapatwa sana na ' Misukosuko ' ya Kiusalama / Kiulinzi ( kama inavyotokea sasa kwa Kenya au kule Syria au Israel ) huwa zinawajenga zaidi kwakuwa...
Habari wana Jf,
Mimi ni mteja na mtumiaji wa laini ya Halotel kwa kipindi kirefu sasa. Nakumbuka laini yangu ilisajiliwa kama ya chuo na nimekuwa nikijiunga na vifurushi vya chuo kwa kuandika...
Hii kwanza ni kashfa kubwa kwake kwa chama cha ngumi Tanzania, wadau ndugu jamaa na marafiki.... Kwamba kazi yake rasmi sasa sio mchezo wa ngumi tena au ngumi mateke bali ameajiriwa kutesa na...
2019 bomoabomoa imekuwa ghafla bin fuuuuu hakuna tena bomoabomoa.
Watanzania wenzangu hapo vipi? KUMBUKA TUNAKWENDA KATIKA UCHAGUZI MKUU
NINI MAONI YAKO
"Tala ni app nambari 1 Tanzania inayotoa huduma za kifedha kwa wadau wanaotumia mtandao wa Tigo na Vodacom !
Tunakupatia mkopo mikononi mwako, wakati wowote na mahali popote. Pia ada zetu ni...
Wana Jf,
Issue hii hapa Mwanza imeanza jana majira ya saa za alfajiri kukawa baadhi ya mitaa hapa mjini ikawa haina umeme, tukajua labda ni break down za kawaida au matengenezo madogomadogo kama...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw Magesa Mulongo ametajwa kuendeleza chuki na ubaguzi dhidi ya watanzania hasa wanahabari wanaoripoti ukweli wa mambo katika Jiji la Arusha. Mulongo, mtu ambae kwasasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.