Hii dunia ya sasa ina maajabu sana ,unapita makaburini unakuta kaburi limejengewa ukubwa wa meter 3/5 mtu1.
Hivi mnataka baada ya miaka50 wengine wazikiwe wapi? Hakuna kitabu cha dini kinacho...
Imekuwa ni kawaida kila siku kukuta malalamiko ya utapeli yanayolalamikiwa dhidi ya tovuti ya Zoom kuhusiana na mambo ya ajira.
Je, TCRA haina wajibu katika kufuatilia jambo hili?
Mzuqa!
Toka mwanzo la sakata la huyu Binti Rahaf Mohamed Aljazeera utadhani wamemeza gundi. Wanairusharusha kiuogauoga na wanaipotezea sana habari zake. Kwa mara ya kwanza kuiona Al-Jazeera ikiwa...
KUULIZA SI UJINGA.SINEMA YA "SIAJI NA MSEMAJI".MLALAMIKAJI INAONEKANA AMEISHA MTIA HATIANI MLALAMIKIWA( KWA kauli zake anazotoa MSEMAJI.).MSEMAJI ndiye boss wa bodi ya kumsikiliza SIAJI.HII...
Wanafunzi 14 wa shule ya sekondari Rulongo wilayani Muleba Mkoa wa Kagera wamelazwa katika hospitali ya Lubya wilayani humo baada ya kujeruhiwa na radi.
Akizungumza jana Jumatano Januari 16, 2019...
Ivi chadema mnavyo jichelewesha kwenda kujibu case zenu mahakamini mtakuja kutia uchaguzi ndo huo unakaribia Boss wenu bado yuko ndani anatoa sababu za kuumwa ambazo hazina mashiko kabisa.. Mwisho...
Kuna mambo mengi kadhaa yamefanywa katika utawala wa Mh.Rais Magufuli, kuanzia kujenga reli ya kisasa, bwawa kubwa litakalo maliza tatizo la umeme, kufufua shirika la ndege kwa kuleta ndege za...
Ndugu zangu,
Hebu kwa dakika moja turudi kwenye ubinadamu na tutafakari kwa kutumia akili zetu timamu. Hebu fikiria kwamba umepigwa risasi zaidi ya thelathini (30)!!!!, maana yake lengo lilikuwa...
Uzi maalum wa kushare pamoja jinsi gani ya kuepuka wanyama wakali kama simba,Chui,Nyoka,Tembo,Mamba n.k......Wataalamu Njooni huku tusaidiane! Kama umewahi kunusurika au kudhurika ndio sehemu yake...
Rais Magufuli: Hongera, naona unataka kwenda Zanzibar...umepata?
Kigwanga: (akicheka): Ahsante Mhe., si unaona ni ‘keupe’?
Rais Magufuli: (akicheka): Tena wewe si unaruhusiwa wanne?
Kigwangala...
Hailed as a 'Gift from God' a five-year old Tanzanian boy, Sheikh Sharifu, who was described in the London 'Sunday Times' (quoting the Tanzanian Swahili newspaper Majira) as having 'a cherubic...
Tarura Arusha mmeshindwa msimamia mkandarasi alie pewa tenda ya njia ya baraaa(gulelo to mboma ya siara ) wananchi wana teseka na vumbi la barabara hiyopaka ila leta madhara kwa afya ya watu sana...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola leo ametengua uteuzi wa Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kipolisi Ilala, Salum Hamduni, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Emmanuel Lukula na Kamanda wa...
Viongozi wa Madhehebu ya Dini Mkoani Kagera waipongeza Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli kwa kuchukua hatua na maamuzi yanayolenga kumuinua mwananchi mnyonge ili...
Mh.Rais najua wafuasi wako wapo humu jukwaani kama siyo wewe mwenyewe,naipenda nchi yangu Tanzania na kwa mantiki hiyo napaswa kukutambua kama Rais wa Taifa langu hata kama sikupendi
Najua...
Za mchana wana forum.
Jana Naibu Waziri wa Ardhi Angelina mabula amefanya ziara ya kiutendaji mkoani Pwani
Nimpongeze kwa kufika kwenye Halmashauri ya Kibaha. Pia nampongeza kwa hatua...
Marehemu Swahiba #1.
Huyu nimekuwa nikimuonya sana na nakumbuka hadi kuna muda huwa tunagombana kuwa aache Kupenda kutumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume Mundende na Futu anapokuwa ana Mwanamke...
WAUMINI wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ilomba Jimbo Kuu la Mbeya hawatoruhusiwa kuingia kanisani iwapo hawatatii agizo la kuvaa mavazi yenye heshima na yasiyodhalilisha utu wa mwanadamu. Kanisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.