Habari,
Nimekuwa nikijiuliza Mara kadhaa hii n kutokana na tv ninayoitumia Mana Kuna sehemu ya YouTube, neflex, Yan app nyingi tuu hii ikimaanisha nikiwaconnected vizuri na internet naweza...
Momba/Dar. Watu wanne, wakazi wa Kijiji cha Nzoka, Wilaya ya Momba mkoani Songwe wamefariki dunia kwa ugonjwa wa kimeta.
Jumla ya watu 81 wameugua ugonjwa huo baada ya kula nyama ya ng’ombe...
Hakika ina kera sana!!!!
Ninapokuwa online, kuna matangazo yanaibuka pop-up from no where kwenye Display! , sija subscribe mahali popote! wala hizo huduma sijawahi omba.
Matangazo ni mengi...
Salaam TZ
Undugu umegawanyika ktk sehem nne
1. Kidini i.e kiimani
2. Nasaba/damu i.e kuzaliana
3. Eneo moja i.e kuzaliwa, kuhamia/kuishi
pamoja mda mref n.k
4. Lugha moja i.e ya kabila au taifa...
MAJI YA MAFURIKO YAKIPITA KWA KASI KANDO YA DARAJA LA MTO MAGOLE WILAYA YA KILOSA NA KUFANYA MATUMIZI YA BARABARA YA DODOMA-MOROGORO KUSHINDWA KUTUMIKA KUTOKANA NA MAFURIKO KUHARIBU MIUNDOMBINU YA...
Kama ni mfuatiliaji wa mambo utagundua kuwa kila penye US military base huwa hakuna utulivu wa kisiasa na amani imara. Lazima patatokea mivutano tu hata kama haitahusisha umwagaji damu. Lakini la...
Hii imetokeo leo katika kikao cha bunge la jumuiya ya Afrika mashariki kinachoendelea mjini Arusha...Wabunge wamegoma kupokea taarifa ya kamati ya fedha wakitaka waliohusika na ubadhirifu na...
binadamu wote ni sawa wapo wenye roho nzuli na wapo binadamu wenye roho mbaya zaidi sasa leo hebu tuangalie mambo ambayo huwafanya watu wengi haswa sisi ngozi nyeusi tuwe na roho mbayaaaaa...
Ameondoka kishujaa, ametoka kanisan kuimba akaenda IDM kwenye kikao cha viongoz wa kwaya, baada ya kikao wakaenda Kilimahewa kupiga picha za mwaka mpya,,, moja ya picha alipenda apige akiwa...
WanaJamvi,
Kazi anayoifanya kangi Lugola nzuri sana katika safisha safisha ya vibaka na wala rushwa, sasa Mzee Kangi ni zamu yao polisi woote kwenye maeneo ambayo yanalipotiwa kuwa na matukio ya...
Kuna hiki kitu WIZI, wizi ni kujitwalia kwa njia ya kificho kisicho chako kwa njia ya kukimiliki kukitumia au kukiuza ili upate chochote au ufaidike.
Kuna aina nyingi za wizi lakini leo...
Tangu Biashara ya Ubashiri na Bahati nasibu kwa njia ya mtandao ianze, sasa hivi imekua kero Hapa nchini hasa kwa watu ambao, hawapo "Interested " na Huduma Hizo!!
Labda utakuwa bado hujaelewa...
Bila kupoteza muda mh rais shirika la bima la taifa linatapeli wananchi kwa makusudi
Soma mfano huu!
Wanakuja wanakuambia weka bima ya elimu na hata wanadiriki kusema Kama unataka kufunga ndoa...
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai, na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu, ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa...
*VIONGOZI WA DINI, NGOs WASEMA NDIYO KWA RAIS.*
[emoji842]Kikao cha kuimarisha uhusiano kati ya serikali, Taasisi za dini na Taasisi zisizo za serikali (NGOs) chafanyika Wilayani Same...
UFISADI MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAPATA BARAKA ZA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH.BALOZI H. KAGASHEKI (MB).
Bajeti ya Wizara inategemewa kupitishwa wakati kukiwa na ufisadi...
Hawa jamaa hapa duniani ni kama vile Dj, ndo wanaamua watu wacheze mziki gani. Ni ukweli usiopingika jamaa hawa wako vizuri sana kwenye PROPAGANDA.
Wanaamua tu watu wengine wawe na mtazamo gani...
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imesema itaanza msako mkali kuwasaka wanufaika zaidi ya 109,980 ambao hawajanza kurejesha TSh. bilioni 291.5
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul- Razaq...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.