Who would have thought?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,582
Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi

Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..

Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...

Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….

ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??

Bado najiuliza WHY...?????

kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..

Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..

wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??
 
Ninachojua hakuwahi kuwa msafi. Labda alikuwa amezidiwa na wenzake tu.
Hivi kwenye yale mabarabara kulikuwa na nini?
Hivi kwenye zile nyumba za toka mkoloni alihusikaje na nyingine baada ya uhuru alihusikaje? Kuna mtu anaweza kutusaidia gazeti la Raia Mwema?
Aaah, hivi MV Bagamoyo inakwenda wapi?
 
Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi

Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..

Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...

Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….

ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??

Bado najiuliza WHY...?????

kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..

Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..

wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??
Unaweza kuthibitisha ulichoandika?
 
Yaani mtu anakwiba kijinga, halafu watu wakimchana anakuwa MKALIII mpaka anapiga watu risasi.

Yaani Jiwe anafanya watu kama watoto !
 
Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi

Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..

Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...

Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….

ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??

Bado najiuliza WHY...?????

kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..

Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..

wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??
aaah we vipi 'umekula maharage ya wapi' asubuhi yote hii yanayokufanya kutema pumba humu jamvini au umelala nayo? hivi huyu baba wa watu afanye nini ili muone kuwa ni la maana? hivi ni kweli hamuoni jinsi anavyojitahidi kutujengea misingi imara ya maendeleo kwa kuanzisha na kuisimamia miradi mbalimbali inayoendelea hivi sasa ambayo hakuna yeyote aliyepita aliyethubutu japo kuvizungumzia? MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
 
Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi

Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..

Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...

Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….

ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??

Bado najiuliza WHY...?????

kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..

Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..

wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??
Kama huappreciate anachofanya ni wewe, usiongee kwa ujumla maana kuna watu kwa mahaba tuliyonayo kwa rais wetu ukiongea kishamba shamba unaweza kujisababishia matatizo
 
Back
Top Bottom