Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,074
Ungelijua kwamba #Maadui zako ndio chanzo kikuu Cha mafanikio yako usingewachukia Kama uwachukiavyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama anawajua ccm " na ubaya wao wao wote walionao " Bado ubaya wao unatoa fursa adhimu Ya kujifunza " kwa chama ambacho kinataka kufikia malengo yake kisiasa