Mirathi ya marehemu

Mirathi ya marehemu

muhuni mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
300
Reaction score
166
Naombeni kwa wanaojua kuhusu hizi sheria za mirathi, Kama marehemu alikuwa mtumishi wa umma lakini alistaafu na kulipwa kiinua mgongo chake sasa hapa vipi baada ya kufariki familia yake hupewa chochote?

Asanteni....
 
Back
Top Bottom