Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Katika gazeti hili Jumapili iliyopita, tulikuwa na habari iliyosema, ‘Sababu za mwezi Desemba kuwa na mauaji, ajali nyingi.’ Habari hiyo ilielezea kwa kina jinsi ambavyo mwezi huo hugubikwa na...
0 Reactions
Replies
Views
Hakuna ubishi sasa hivi mafisadi yamebanwa kwenye kona mbaya, yanalalamika kwa kuzibiwa vichochoro vyao vya kupiga madili. Bila shaka kwa miaka 10 ya Rais Magufuli madarakani yatakuwa yamedhoofu...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Haya ni maji ndani ya mto unaopita eneo la Tabata Matumbi mpaka kukutana na bonde la Msimbazi. Yanatumika kumwagilia mbogamboga katika eneo la bonde la Msimbazi na eneo la bustani za mchicha...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Redirect
::::NI MJASIRIAMALI PIA MWENYE DUKA LA NGUO NA VIATU. •NANUNUA NGUO NA VIATU KWENYE DUKA MOJA PAMOJA NA MACHINGA WOTE. •MACHINGA WAO WANABWAGA TU CHINI KONGO KARIAKOO NA KUUZA. •MIMI NAPELEKA...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani mwenye taarifa sahihi ya uteuzi mpya alioufanya rais Leo atuletee humu tuone maana imenipita TBC1 , Yule Mafuru wa hazina atapangiwa KAZI nyingine.
0 Reactions
Replies
Views
habari wana jf je kuna madhara yeyote unapobadili rim ya tyre size 14 kwenda size 15 ili gari inyanyuke.naombeni mawazo yenu
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo katika manispa ya bukoba maarufu kwa jina la wamachinga waliokuwa wameondolewa kwenye maeneo ya kingo za barabara zilizoko katika maanispaa hiyo baada ya...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Kuna matukio mengi yanatokea hapa nchini kuhusiana na ubadhilifu wa Mali za umma aidha wizi,utoroshaji nk Tumeshuhudia wanyama pori wakisafirishwa ,wakiuliwa na kazi yote inafanywa na inside job...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Kuna ajali imetokea muda huu kati ya basi la mwendokasi limegongwa na gari dogo! Hakuna majeruhi
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Sasa ukisikia bidhaa nyingine imeibuka na slogan hiyo...ukiuziwa shamba na Copy ya Branda C wakati Brand B iliyojaribu kuwa Brand A ambayo ndiyo original hiyo A ndiyo Founder wa Brand zote B na...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Miongoni mwa mambo aliyoacha Kikwete na yaliyojenga heshima ni Sekretarieti ya Ajira. Wengi waliamini kuwa chombo kile kilikuwa huru kiasi fulani na vimemo havikutembea kwenye kazi hizi za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Redirect
Huu Uzi Ni Special kwa ajili yako Field Marshall "MWIGULU NCHEMBA " Ukiwa kama Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ya Nchi!! Uko wapi wakati Rais wetu anachafuliwa kwenye mtandao na Mtu MDOGO ambaye hata...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanaJF!!!! Jiji la Mbeya ni miongoni mwa majiji makubwa hapa nchini kwa walio wahi kufika Mbeya pale standi kuu ya mabasi ya mikoani ni aibu tupu, ile standi kuu ya mabasi ina ishusha...
7 Reactions
59 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu!nimatumaini yangu kwamba mwaendelea salama,nina mambo mawili ambayo yaniumiza kichwa kuhusu taifa la IRAN. Kutokana na sikiasikia zangu inaonyesha iran sio taifa salama kwa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Jaribio la kupinga hukumu ya kuwarejesha kazini wafanyakazi 31 waliopunguzwa mwaka 1993, limekwama tena baada ya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi ya Benki Kuu Tanzania...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua taarifa mbalimbali za hii senta ya computer training.ubora wake kwa watu waliopita pale au kwa kusimuliwa
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Jamani wana JF wenzangu, Naomba tuungane kupaza sauti zetu ili serikali ione sababu ya kufuatilia tatizo la TANESCO kwa wana Lindi. Mimi binafsi si mkaazi wa Mkoa wa Lindi ila nimekuwa...
1 Reactions
3 Replies
718 Views
Hapa kwetu bongo kuna vimbwanga vya kila aina ila mbali ya yote kumekuwa na tabia ya watu kuzarauliana kutokana na vipawa mbalimbali ambavyo watu wanavyo kama ulevi wa wastani na uliopindukia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Redirect
Katika hali isiyo ya kawaida mzee Athumani Mchambua ameweka bango la kunadi vigezo vya make anayhitaji kuolewa naye huku akitangaza kuwa Yuki tayari kwa atakayekidhi vigezo kumuoa. Akihojiwa na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu niaje nataka tu ufafanuzi wa njia za kupitia TCRA kuanzisha kituo cha Radio mkoani. 1: Jinsi ya kupata vifaa na garama zake.. 2: jinsi ya kupata leseni na garama zake . 3 muda...
2 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom