Manji afukuza wafanyakazi zaidi ya 250 ndani ya wiki mbili

nakujuzatz20122

New Member
May 11, 2018
2
3
Kutokana na maelezo moja ya wafanyakazi, inadaiwa kuwa zoezi hili si mara ya kwanza na inasemekana zaidi ya wafanyakazi 550 wamefukuzwa ndani ya kampuni kutoka mwezi September 2017.

Mpaka sasa wengi wakiwa ni wafanyakazi wazawa na hawa 250 waliofukuzwa sasa wameahidiwa kulipwa fidia zao baada ya mwezi tofauti na awali ambapo walilipa ndani ya week.
 
kutokana na maelezo moja ya wafanyakazi anasema zoezi hili si mara ya kwanza inasemekana zaidi ya wafanyakazi 550 wamefukuzwa ndani ya kampuni kutoka mwezi September 2017.... mpaka sasa wengi wakiwa ni wafanyakazi wazawa ..Na hawa 250 waliofukuzwa sasa wameaidiwa kulipwa fidia zao baada ya mwezi tofauti na awali ambapo walilipa ndan ya week

Kiashiria kingine cha hali mbaya ya uchumi: ajira nyingi zilizopo zitapotea, ajira mpya zitapungua, tatizo la ukosefu wa ajira litaongezeka na hali ya maisha itakuwa ngumu zaidi -maana yake vyuma kukaza zaidi !
 
Back
Top Bottom