Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WIZARA ya Madini imeutaka Mgodi wa Dhahabu wa North Mara kulipa dia inayokia Sh bilioni 12 kwa wananchi wanaozunguka mgodi huo ulioko mkoani Mara. Waziri wa Madini, Doto Biteko na Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wajameni wote tulikuwa tunaangalia taarifa za habari za runinga ya taifa ya zaire jinsi ilivyokuwa ilianza habari kwa kuonyesha video ya dictator Mobutu akishuka toka mawinguni nadhani kasumba ya...
0 Reactions
2 Replies
680 Views
Habari wakuu, Nimekuwa nakutana na watu wengi niliosoma nao na kupiga stori kadhaa lakini cha ajabu hakuna anayemuomba mwenzie namba ya simu.(hana nadhani kila mmoja anamwangalia mwenzie kuwa...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Mwaka 1954 mwezi wa 7, mwanaume mmoja anawasili katika uwanja wa ndege wa Tokyo huko Japan. Kimuonekano anaonekana kama ni mtu kutokea bara la Ulaya. Lakini wana usalama wa pale uwanja wa ndege...
7 Reactions
38 Replies
8K Views
Serikali iangalie icd hii hainauwezo wa kupokea na kupakia contena Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Miaka ya mwanzoni na kati ya 80 (1980s) wakati timu yetu ya taifa ya soka Taifa Stars ilipokua ikicheza katika uwanja wowote wa nyumbani, iwe pale Taifa shamba la bibi, CCM Kirumba pale Mwanza au...
0 Reactions
2 Replies
701 Views
Unajihisi una nuksi na mikosi? Mambo hayaendi kama unavyo taka? Umeoga DAWA za kuondoa nuksi na mikosi bila mafanikio? Basi Leo nakupa bonge la DAWA. DAWA hii inaondoa nuksi,mikosi na...
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Wafanyakazi Mtaishia Kulalamika Sana. Lakini huu Ndio Ukweli. Mtaishia Kuwa Watumwa kwa Wanasiasa. Mtaishia kutumika Hadi Uzeeni, Mtanyonywa Sana Nguvu Zenu Hadi Pale Mnakuwa Wazee.
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Ikiwa imepita wiki moja tangu waziri wa mambo ya ndani apendekeze makamanda Wa mikoa mitatu (ILALA,TEMEKE NA ARUSHA) kuondolewa kwenye nafasi zao huku wengine akiwatuhumu kujitathimini; Mamlaka...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za humu ndugu zangu...naombeni ushauli wenu mie nikijana ambaye natafutaa biashara gani ya kufanya ukiwa na shilling million moja... Naombeni ushauri wenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za usiku wazee! Mara nyingi huwa tunapigiana simu au kuandikiana sms kuomba tuvushane kifedha. Sasa shida inakuja mara baada ya kutumiana hiyo fedha. Wengine wanarudisha bila kupiga hesabu...
3 Reactions
3 Replies
784 Views
Kama inavyofahamika kuna makundi mawili yanayoingia humu jamvini kuperuzi forums mbalimbali.. Kuna wanachama waliojiunga moja kwa moja almaarufu kama " member". Kuna kundi lingine linalopitia...
17 Reactions
63 Replies
5K Views
Imeonekana threads nyingi za kuishauri serikali, kuhusu jambo lolote...neno ‘ hashauriki’ limekua common,,,, Sasa kwa nini mpo Ofisini ? Kuna mtu alishawahi kumshauri Magufuli awafukuze nyie...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
TANZANIA imepongezwa kutokana na uamuzi wa kuunda mabaraza ya kiswahili ambayo ni Bakita kwa Tanzania Bara na Bakiza kwa Zanzibar ambayo kimsingi yanasaidia katika masuala ya sera ya lugha ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu salam Mimi ni mtumiaji mkubwa sana wa mtandao wa kufanya betting unaitwa biko Ila sidhan kama kila mtu anapata majanga kama ambayo mm nayapata kila ninaposhinda bet zangu Sijawahi kushinda...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello JF, Tatizo la ajira limehit record high, Wengi wakiwa graduates,ambao system imewa FAIL, Kwa kuwafundisha mavitu maguuumu ambayo yako nyuma na kasi ya sayansi na teknolojia Tufanyeje...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
We are not poor; it is our heads that are poor The Monitor, SATURDAY JANUARY 19 2019 Link: We are not poor; it is our heads that are poor By Samuel Sejjaaka There is a gentleman who used to...
0 Reactions
2 Replies
564 Views
wadau yule kijana aliyetoka kigoma kwa treni kuja kusaka maisha DAR amefia wapi mbona kimya au baada ya kufika DAR mambo yamekuwa tofauti?. Maana alikuwa anatoa taarifa kila hatua akifika Sent...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna huu mtambo wa mawasiliano alioukabidhi mheshimiwa Rais. Utawala wa jf tukianzia na ma mods wote je mnaweza kututoa hofu juu ya huu mtambo kwa sababu humu ndani ya jf tunajivunia kuongea wazi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
SERIKALI mkoani Shinyanga imepanga mkakati wa kuwasaka wajawazito kila kaya na kuwaandikisha kwenye daftari ili kufuatiliwa kama wanahudhuria kliniki na kujifungulia kwenye vituo vya kutolea...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom