Ni ipi hasa load capacity ya basi za DART?

Ni ipi hasa load capacity ya basi za DART?

Heron

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,806
Habar Wakuu,
Kama kichwa kinavyosomeka, nimekuwa nikijiuliza je hizi basi hasa zinatakuwa kubeba abiria kiasi gani?
Ubebaji huu unapita kiasi, cha ajabu gari zilizopaki ni nyingi halafu zinazozunguka ni gari chache sana!!
Au nadhan tunasubiri yatokee ya kutokea ndio tutajulishwa hasa idadi inayotakiwa.
Maana huo ndio utaratibu tuliouzoea,
Refer. Mv Bukoba, MV Nyerere n.k

My take: Tuchukue tahadhali kabla hayajatufika tukaanza kumtafuta mchawi
 
mabasi yale marefu yana uwezo wa kubeba abiria 140 ambapo abiria 47 wanakaa kwenye viti na waliobaki wanasimama na yale mafupi yanauwezo wa kubeba abiria 80 (39 wakikaa na waliobaki wanasimama)

hapo katika mradi huu serikali ilijenga miundo mbinu na kumpa DART kama msimamizi wake ambapo DART aliingia mkataba na UDA-RT kama interim service provider kwa mfumo wa Access fee model UDA-RT anamlipa DART fees kutumia miundo mbinu yake, inavyoonekana ni kwamba UDA-RT anapata mzigo mkubwa mno katika kujiendesha na kupata faida ndo maana unaona huduma ni mbovu sana
 
Back
Top Bottom