Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam.... Hope wote mko njema. To the topic Nimekua nikipita humu kuona thread kadha wa kadha kuhusiana na matumizi ya viumbe hao wasio onekana i.e. Majini katika kutusaidia katika mambo yetu...
9 Reactions
42 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kuna wanawake wameanzisha vibaaar kwenye vifrem vyao, sasa wanakera Sana na kuwaomba Wateja bia utakuta anatoka home kwake anaenda kushinda kwenye...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hakika kama yasemavyo maandiko kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa ya kuja kwake mwana wa Adamu(Yesu/kristo), Je kama yesu ndio anarudi duniani sasa hivi wewe atakukuta unafanya nini? Mi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wana jf.kwa kweli nimekuwa nikiona hili jambo lina hatari zaidi.kutokana na ubalisia wake unaojionesha.ni suala zima la hivi vyama kama vile CCM,CHADEMA,CUF n.k.hivi vyama...
1 Reactions
6 Replies
897 Views
“MIZIMU KAMA CHANZO CHA MATATIZO” Duniani yapo matatizo ya aina mbalimbali, matatizo hayo yote yana namna ya kuyaondoa. Unapokuwa umekosea namna ya kuliondoa tatizo lililokupata unaweza ukajikuta...
5 Reactions
10 Replies
14K Views
Habari, Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu... Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na...
75 Reactions
127 Replies
13K Views
Baba mzazi wa mwanasheria mkuu wa serikali,Alderius Kilangi Lubango,amefariki dunia mchana leo katika hospital ya wilaya ya Sengerema.R.I.P Mzee Lubango.niliongea na mtoto wa marehemu ambae ni...
1 Reactions
51 Replies
8K Views
Habarini ndugu Wewe kama mdau wa jamii forum unatoa maoni gani kuhusu vitendo vya ugaidi unaoendelea nchi jirani yakenya Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama cha mapinduzi (CCM) chini ya uongozi makini kina zidi kuji imarisha katika kampeni zake mbalimbali hapa nchini na Nje ya Nchi... Za nje ya nchi tuta kuja nazo siku nyingine... Sent using...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Monday, March 17, 2014 AFYA No comments Huu hapa ubunifu wa usafiri rahisi kwa huduma ya afya, yaani kusafirishia mgonjwa kutoka eneo moja kwenda jingine kwaajili ya kupata matibabu. Made...
2 Reactions
128 Replies
28K Views
Wakuu habari ya kwenu napenda niwasalimu wote kwa jina la alieumba Mbingu na Nchi Kama kichwa cha habari kisemavyo dola ya Rumi itarejea tena Sote tunajua zilipita Dola kadhaa zenye nguvu kubwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Aliekua balozi wa yemen nchini Tanzania mwaka 1976 hadi 1983 amefariki leo hii tareh 18/1/2019 nchini yemen mkoa wa almahra. Poleni ndugu wote na fmly wa Marhemu. Inna lil Allah wainnaa illihi...
1 Reactions
2 Replies
981 Views
Comrades kwann uzi unaomuhusu bernad membe na zito kabwe ambao umo humu umefungwa una nini cha ajabu mpk wameupiga pini Ukiuklik yanakuja Yale maneno ya kuudhi zaidi jf ooooooooops...
0 Reactions
5 Replies
911 Views
Aliekua balozi wa yemen mwaka 1976 hadi 1983 amefariki leo hii tareh 18/1/2019 nchini yemen mkoa wa almahra. Poleni ndugu & fmly ya Marhemu. Inna lil Allah wainnaa illihi raajiun Sent using...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
hivi ninani ambaye hajawahi kupitia hatua hii wewe kama nimwanaume mwenye zaidi ya miaka 25 hukupitia hapa bado hujakamilika Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Nimewasogezeaa karibu jinsi hali ya ndugu zetu wakenya inavyoendeleaa.... Usisahaau kutoa maoni yako video iko hapo chini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
757 Views
Dooh CAG amedhallika sana... hadi na wachora katuni, amekuwa kifurushi kisicho thaminika... kime ning'inizwa tu, kina subiri kama kukatika au MTU wa kukiokoa kisije potea mbali... Sent using...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
kwa kawaida magonjwa ya akili yamegawanyika katika makundi mawili yaani magonjwa ya akili yanahitaji tiba kubwa ( major psychiatric disorder) na yale madogo ambayo kwa kawaida huenda kila mtu ana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara,Sebastian Waryuba amewataka wazazi wanaotumia kigezo cha kutolipwa malipo ya Korosho, kutowapeleka watoto wao shule kuacha mara moja tabia hiyo, na hii...
3 Reactions
25 Replies
8K Views
NoMoPhoBia ni jina jipya la Ugonjwa lililopatikana baada ya kupigiwa Kura na moja ya chuo kikuu nchini Marekani, kisa na mkasa kufikia maamuzi hayo. Huwa wanautaratibu wakupigia kwa Misamiati...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom