Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege? 1. Pale unapofika airport na kuwatazama wale wasindikizaji wanapokuangalia...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Salaam wanajamiiforum kwa ujumla Naomba nitumie njia hii kutafuta kazi Sifa zangu Elimu,, chuo kikuu (shahada ya elimu masomo ya sayansi) Miaka,,26 Jinsi,, me Mawasiliano ,, lupene2006@gmail.com...
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Walimu wa shule za msingi na sekondari za umma mkoani Dar es Salaam wataanza kusafiri bure kwenye daladala kuanzia tarehe 7 Machi 2016. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paulo Makonda na viongozi wa...
1 Reactions
200 Replies
32K Views
Ndugu zangu wana Forum wenzangu, Nimekua nikifuatilia mijadala hapa kumuhusu Mh. Lissu hapa jukwaani, Inisikitisha sana tena sana mijadala ya vijana wetu. wengi wamediriki kuhoji uzalendo wake...
7 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndoto zingine mmmm! Kama unaamini kuna Mungu basi ni dhahiri unaamini kwamba kuna shetani na malaika zake kama vile mapepo, majini, vinyamkela (hata wazungu wana majini na mapepo yao kama...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Vitu vingine ni ridiculous, yaani ile barabara ya kutokea pale round about na kukunja kona kuelekea bandarini na hatimaye daraja la Kigamboni ni nyembamba kama uchochoro wa vingunguti kwa mkodisha...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kitambaa cha kweli hakiwezi kuyachoka machozi na jasho lako paleunapoamua kufanya kweli katika maisha.. Pambana usiku na mchana kuhakikisha maisha yako yanakuwa bora zaidi ya jana. Kumbuka...
3 Reactions
3 Replies
921 Views
Kwa kifupi wabunge wa bunge la JMT hujitungia sheria dhafu dhaifu ambazo zinatoa mwanya wa mbunge kufanya KAZI zao kwa ulegevu pamoja na utoro mwingi Bungeni yaani hata usipoonekana mwaka mzima...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je umewahi kujiuliza ni hujuma gani Mungu pamoja na shetani kwa pamoja wanaipanga dhidi yako? Imani inasema Mungu anatupenda, anatujali na anatuthamini. Lakini je hua unajiuliza Mungu na shetani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
WADAU wa Muswada wa Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), wameshauri Jeshi la Polisi lisihusike na kukagua magari badala yake jukumu hilo liachiwe mikononi mwa mamlaka hiyo...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wajameni naomba matokeo huku kwetu Halotel imekata nataka ikirudi nimpongeze Mr zisi izi Simba Haji Manara! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kusimamishwa na trafiki barabarani, na ukawa huna leseni mfukoni kwa muda huo sio kosa. Mwambie huyo trafiki kuwa hilo sio kosa. Sheria inatutaka kutembea na leseni tunapoendesha vyombo vya moto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi nimerudi kutoka Pakistan Leo nikawa naelekea mbezi kwa nigga wangu mmoja hivi, nafika pale ubungo naona Kuna ujenzi wa barabara mpya cha kusikitisha tenda inasimamiwa na mchina Hivi...
8 Reactions
140 Replies
11K Views
Mbona zama hizi serikali haichapishi tena noti. Kuna shida gani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa niaba ya wakazi wa mkoa wa Iringa na Nyanda za juu kusini. Pamoja na kuwa na uhitaji mkubwa wa usafiri wa ndege mkoa huu kwa muda mrefu sasa tumekosa hii huduma. Wito wangu kwenu. Hapa Iringa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna huu mtambo wa mawasiliano alioukabidhi mheshimiwa Rais. Utawala wa jf tukianzia na ma mods wote je mnaweza kututoa hofu juu ya huu mtambo kwa sababu humu ndani ya jf tunajivunia kuongea wazi...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Juzi nilikua nataniana na mshikaji wangu kwenye WhatsApp, yeye ni Mkenya nikawa namtania kuhusu masuala ya Kenya na matatizo yao ya Ukabila. Mkenya akaja na hii zahama ikanibidi nisalim Amri. Je...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Sheria inasema hivi kama mtu akimtia mimba mwanafunzi wa shule ya msingi au sekondari kifungo cha miaka 30. Je mwanafunzi akimtia mimba raia hapo sheria inasemaje. Maana hapa mtaani tuna...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom