Inside: poleni familia ya Mwalimu aliyeuawa morogoro

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Wakuu,

Japo sijui kwa undani suala hili, ila nitoe pole kwa familia hiyo na kwa mchumba wake kama taarifa zilivyokua zinaeleza.

Naguswa na jinsi tukio hili lilivyotokea maana linafananishwa na utekaji na mambo ya Ransom (kulingana na chanzo nlichosoma)

Inasikitisha,
Kunawapo waliozusha kuwa huenda wauaji walikuwa ni wkopeshaji, yaani zile sehemu watumishi wanaacha kadi na kuchukua pesa, so labda hawakulipwa,
Nimeshtuka maana kunamtumishi alishawahi kusema ametishiwa maisha na watu kama hao yaani wakopeshaji kwa kuacha kadi, it possible kwanu hali imekuwa ngumu.

Poleni, inauma inauma,
Mungu awatie nguvu na ujasiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
funguka zaidi
 
Sasa hapo umeandika nini? Kama hujui kaa kimya

Mlet uzi atakuwa ni ccyemu mana ndiyo huwa wana akili style hii, hawaeleweki lakini wanalazimisha waeleweke

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu,

Japo sijui kwa undani suala hili, ila nitoe pole kwa familia hiyo na kwa mchumba wake kama taarifa zilivyokua zinaeleza.

Naguswa na jinsi tukio hili lilivyotokea maana linafananishwa na utekaji na mambo ya Ransom (kulingana na chanzo nlichosoma)

Inasikitisha,
Kunawapo waliozusha kuwa huenda wauaji walikuwa ni wkopeshaji, yaani zile sehemu watumishi wanaacha kadi na kuchukua pesa, so labda hawakulipwa,
Nimeshtuka maana kunamtumishi alishawahi kusema ametishiwa maisha na watu kama hao yaani wakopeshaji kwa kuacha kadi, it possible kwanu hali imekuwa ngumu.

Poleni, inauma inauma,
Mungu awatie nguvu na ujasiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Good FOOL
 
Uzi mzuri sana. Umechambua kila kitu mkuu safi sana. Alisikika mlevi mmoja kona bar.
 
Wakuu,

Japo sijui kwa undani suala hili, ila nitoe pole kwa familia hiyo na kwa mchumba wake kama taarifa zilivyokua zinaeleza.

Naguswa na jinsi tukio hili lilivyotokea maana linafananishwa na utekaji na mambo ya Ransom (kulingana na chanzo nlichosoma)

Inasikitisha,
Kunawapo waliozusha kuwa huenda wauaji walikuwa ni wkopeshaji, yaani zile sehemu watumishi wanaacha kadi na kuchukua pesa, so labda hawakulipwa,
Nimeshtuka maana kunamtumishi alishawahi kusema ametishiwa maisha na watu kama hao yaani wakopeshaji kwa kuacha kadi, it possible kwanu hali imekuwa ngumu.

Poleni, inauma inauma,
Mungu awatie nguvu na ujasiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema "Inside" then we mwenyewe huna uhakika?
 
Ukinywa gongo sana unaanza kuwa kichiz,, unafikiri kila mtu anajua huo mkasa, JF ni chombo cha habari unapofungua thread uwe na taarifa kamili.zinazoeleweka,, au.unafikiri humu kuna watabiri wa unachokiandika,,?
 
Wakuu sinauhakika kama hamjui habari ya tukio LA mwalimu wa wa sekondari kuuawa kwa kinachosadikika kuwa ni sumu,

Mim nimelenga zaidi kutoa salamu za pole. Msinielewe vinaya, tujadilini watu wengine wasfunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom