Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Moja ya nguzo ya demokrasia ni Uhuru wa kijieleza na kutoa maoni,pia kuvumiliana. Kuna wadau wengi sana wanapenda demokrasia hasa Uhuru wa kujieleza na kukosoa pasipo kuvunja sheria., Kibaya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbeya Kiwira watu wanakamatwa kisa hajatoa pesa ya mchango wa kujenga Zahanati haijalishi una chanzo cha mapato ama la. Wanakamatwa kama hujatoa mchango mchango wa kujenga madarasa ya msingi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za muda huu waungawa, poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa wale wagonjwa mungu awatie nguvu mpone na mrejee kwenye majukumu yenu ya kila siku Niende moja kwa moja kwenye mada...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Wanajamvi!! Kwa muda mrefu sana kumekuwa na foleni kubwa ya magari barabara ya Mwai Kibaki wakati wa asubuhi saa 12 hadi sa 2 kwa watu wanakwenda Mbezi Beach kupitia daraja la Mlalakuwa JKT...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Balozi wa Tanzania nchini UAE, Mhe. Mbarouk Nassor na Mkurugenzi wa Dubai Expo 2020, Bw Najeeb Mohammed wakiweka saint Mkataba wa ushiriki wa Tanzania katika maonesho ya biashara ya dunia ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo muda fulani nilichepuka niende kununua materials ya ujenzi pale Kamaka. Kwa wasiojua, Kamaka ni kampun ya Warusi wanauza vifaa vya ujenzi..Ni duka kubwa Sasa wakati nimemaliza kila kitu...
11 Reactions
69 Replies
12K Views
Wakuu, naomba msaada wa kusitisha jumbe ninazoletewa na Vodacom kupitia 15544. Tokea nikatushwe tamaa na mbinu za kupata pesa za makampuni haya ya cm ya kujibu maswali kupitia Airtel SITAKI kabisa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Tununue ndege, ila tujue pia hali yetu ipo hivi
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu To share is to care Mwanzoni mwa mwaka huu nilipoteza simu yangu kwahiyo Nikawa katika urgent need of smartphone nikafikiria kununua simu used bado nikakosa imani basi rafiki yangu...
3 Reactions
25 Replies
12K Views
*MGODI WA DHAHABU KATIKATI YA MASIKIO* ni siku nyingine njema na kubwa mno, ni siku utafanya mambo makubwa sana na kuja na mawazo yenye thamani ya dollar milion moja.ungana nami tena...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Hongera jeshi la polisi hasa kitengo cha usalama barabarani kwa kuwa watu wakuongoza watu ili kutii sheria za barabarani. Lakini pia nawapongeza watu wa mara kwa kuwaelewa vijana wetu wa usalama...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Week jana nilileta malalamiko yangu hapa jukwaani na kuomba ndugu zangu mnisaidie kuhusuana na jamaa mmoja aliyetaka kunipatia kazi kwa njia ya kumtaka Dada yangu kimapenzi. Baada ya kugundua...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Katika uchunguzi wangu nimegundua NHIF wanalipa gharama kubwa sana kwa wateja wao kwa kuwa wengi wanaenda katika hospitali za private ndio maana wanataka wanachama waajiliwa tu. Sasa ni bora...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
"Huduma ya Kuzuia Maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto iliendelea kutolewa ambapo mwaka 2018 asilimia 97 ya wajawazito walipima VVU ikilinganishwa na asilimia 95 mwaka 2017. Aidha...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
SERIKALI imetaisha kilo 24 za dhahabu na 150 za vito vya thamani baada ya wamiliki wake kupatikana na hatia ya uhujumu uchumi. Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali (DPP), Biswalo Mganga amesema...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanza: Polisi Mwingine wa Usalama Barabarani ampiga driver na Kondakta
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Habari wanaJF, Nyumba ya Mapadre wa Kanisa Katoliki ya Segerea Seminary yateketea kwa moto usiku wa kuamkia Leo Chanzo cha moto huo bado haijafahamika
6 Reactions
39 Replies
12K Views
WAKULIMA zao la korosho mkoani Lindi wamelipwa Sh bilioni 85 wiki iliyopita kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB). Katika hatua nyingine, uhakiki wa mwisho wa malipo ya korosho mkoani Lindi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Washambuliaji wawili walinaswa na camera za CCTV wakiingia kwenye jengo la hoteli Watu tisa wametiwa mbaroni kuhusiana na shambulio dhidi ya hoteli ya kifahari mjini Nairobi, Kenya ambapo watu 21...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom