Mamaa Africa
Member
- Mar 1, 2018
- 59
- 278
Napenda kuwapongeza sana wanawake wa nguvu walioamua kujitosa kulipia ada watoto wao huku baba zao wapo mjini wanazurura.
Niwaambie tu ninyi ni wanawake wa nguvu, endeleeni kuonesha upendo kwa hao watoto mana kuna siku mtakula matunda ya kazi ya watoto wenu.
Acheni hawa kina baba wachache wasiojali wa nyumbani kwao waendele kutojali finali uzeeni
#Kama wewe ni mmoja wao fanya kama unabisha haha
Sent using Jamii Forums mobile app