Mwenye uzoefu na Marekani msaada nahitaji

Uyanyuan

Member
Jul 24, 2018
18
20
Habar Mr&Mrs
Kama ilivyo Ada yakua kila mwenye shida bhas ana hitajika kutatuliwa na aulizae si mjinga haimanishi mdogo either mkubwa na kila mtu Ana ndoto zake binafsi Hakika kiukweli ndoto yangu kwenda Marekani so nahitaj msaada kwa wale wenye uzoefu na nchi ya Marekan.

Nina miaka 20 Education form 4 kuhusu lugha ya kigeni najua kuhusu travel documents it's up to me nahitaj msaada wenu Nahitaj kujua ni sehemu gani itakua nzuri pia na upatikanaji wa kazi ni mzuri iwe ya kutumia nguvu maana kwa Education yangu najua kupata kazi rahisi ni ngumu.

Balance nilio nayo ni kama $1500 kuhusu nauli pia nahitaj msaada kwa anaejua nauli kutoka dar mpka USA itani cost shingapi? $1500 iko nje na nauli pia nahitaj kubahatisha bahati yangu kiukwel maisha ya bongo kutoka ni ngumu ila panapo majaliwa yake Allah unaweza toa sadaka $2000 ukapata zaidi maana bado sijaona biashara gani inaweza kudumu now until the future.

Ahsanten Sana kwa anaejua nauli nahitaj msaada wake na pia mwenye uzoefu na nchi ya Marekan anijuze zaidi na zaidi any comments Ina ruhusiwa
 
karibu sana... hapa MIAMI ipo kazi ya kutembeza CHUPI ufukweni..

pia maeneo ya CALIFORNIA...hapa kuna migahawa kibao unaweza ukapata kazi pia katika migahawa ya vyakula vya kiafrika.. sana sana mitaa ya magharibi..

UNA KIPAJI gani kwanza??

alafu swali lingine unamjua TRUMP-ET?
 
Upande wa kipaji driving uzoefu wa supermarket
 
Mkuu kajaribu life huko lbda bongo bahati mbaya maisha yako umepangiwa USA ..
Lakini sidhani kama utapata visa ya kwenda maandishi matatu kwa sababu zako hizo za kutafuta kazi
 
karibu sana... hapa MIAMI ipo kazi ya kutembeza CHUPI ufukweni..

pia maeneo ya CALIFORNIA...hapa kuna migahawa kibao unaweza ukapata kazi pia katika migahawa ya vyakula vya kiafrika.. sana sana mitaa ya magharibi..

UNA KIPAJI gani kwanza??

alafu swali lingine unamjua TRUMP-ET?
Trump namjua?
 
Back
Top Bottom