kila binadamu ana usakaji pesa kwa njia anayo ijua mwenyewe.katika kubadilisha maisha ya kutafuta pesa nikachungulia fursa na liziki yangu kutoka kwa mungu kuingia madiba kwa mkaburu.
hapo ndo ni...
Ndugu wanajukwaa, nimeweza kuona wastaafu waliowekewa pensheni yao wakielezea jinsi walivyopewa asilimia 25 ya mafao yao baada ya Ile 50 %kama ilivyoweza kuagizwa na Rais. Mwenye ufahamu zaidi juu...
Kuna vitafunio vya chai Tabata ambavyo vinaitwa mkate yani 'bread' lakini kiuhalisia ni maandazi au 'jam doughnuts'.
Kifungashio chake kinaweza kufunguliwa na kufungwa ili mteja apewe andazi moja...
LUGHA ya Kiswahili imepata mashiko baada ya kuwa moja ya lugha duniani zinazofundishwa katika mataifa zaidi ya 15. Katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Kiswahili ni lugha rasmi baada...
Nimeipata habari hii ya Prof Kamuzora, RAS Kagera, kutoka mitandao ya kijamii. Naamini hoja zilizomo humu ni hoja changamshi kuhusu falsafa (aina na mfumo) ya elimu yetu, tangu uhuru, kama...
Juzijuzi nilimtembelea rafiki yangu ambaye anajitahidi kuishi kama wale anaowaona kwenye Luninga, sasa yeye ana kavulana kake kako nasari, nako anakalea kama vile vitoto vya kwenye Luninga...
MREMBO Betty Kitoo kama alivyojieleza, Alhamisi mchana wiki iliyopita alipatwa na aibu baada ya kukutwa akiwa mtupu kazini kwake. Kilichomfanya akae katika mazingira hayo kwa mujibu wa chanzo...
Kuna makundi yataanza maandamano kuunga mkono sheria mpya. Tukianza na wazee wa Dar ambao mara nyingi hutokea bararani baada ya mwenyekiti wa mtaa kukabidhi bahasha ya khaki jioni iliyopita...
Da es Salaam. Siku chache baada ya kusambaa kwa tangazo lililotolewa na Manispaa ya Temeke kuhusu tozo ili kupata vibali vya sherehe za harusi na kuzaliwa (‘besidei’) kwa kiwango cha Sh50,000...
WATU wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa makosa mbalimbali akiwamo kuingiza uyoga aina ya Soya Gold na mifuko laini ya plastiki kutoka nchini Malawi bila kulipia kodi.
Kamanda...
DALILI ZA MTU ALIYE ATHIRIWA NA MCHEZO WA KUBETI[emoji387]
1. Anatumia muda mwingi kwenye kubeti[emoji144]
2. Msiri juu ya tabia zake za kubeti na anakuwa mkali akifuatiliwa
3...
BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana. Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni lazima kuna...
Kwa jinsi nilivyochafukwa Naomba hata Salamu niachane nayo kabisa Wapendwa sana Wana JF wenzangu.
Naamini kuwa Uzi huu Unaweza kumfikia Mheshimiwa Siro, Aidha kwa yeye Mwenyewe kuusoma au...
Hivi nani anajua walipo wawili hawa: Jacqueline Liana Jane na Mihanji?
Awali wawili hawa walianzia Uhuru na Mzalendo, wakiwa waandishi wa habari. Kwa mara za mwisho Liana alikuwa DC (Magu?)...
Wakuu hebu mnisaidie kwamba nitawezaje kupata lesseni ya udereva bila ya kujihusisha na kutoa mrungura kwa jamaa zetu walio kalia mapembe?
Tiari nimefuzu mafunzo ya udereva toka veta na nimeoewa...
Ukiyatazama matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa hapo jana.
Shule ya wasichana ya St. Francis iliyopo Jijini Mbeya imeongoza kwa kuwa na ufaulu wa juu
Wanafunzi wote 91 wamepata daraja la...
Nawatakia usiku mwema!
Huku tukijiandaa kulala naomba tuchangie hii mada.
Je, maisha bora au duni hupangwa na Mungu au akili za mtu husika ndizo humweka mahali fulani?.
Bado huwa ninashangaa kuhusu watu wanaojimaliza kwa sababu ya mitandao ya kijamii, yaani kwa kuwa watu wamemsema sana, kesho kajiua, anakuwa na stress mpaka wengine wanalia huku wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.