Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna wakati tulikuwa Beach mimi na Marafiki zangu. Sasa tukiwa huko tukakutana na Madada wa Kiholanzi nao walikuwa wapo holiday na kuja kufurahua maisha huku. Tukiwa kule tukapeana kampani na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naangalia wazungu na jamaa wa brazili, Wengine badala ya kufuka paka, wanafuga TIGER, Kuna mama mmoja anafuga Black Mamba huko Africa Kusini. Chatu wanafugwa kama viburudisho majumbani na hawaumi...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Mheshimiwa mkuu wa Mkoa ,tunaomba uusaidie kuondoa kero ya baa inayopiga mziki usiku kucha iliyopo maeneo ya kimara stop Over.Baa husika ipo barabara ya zamani ya maarufu kama Morogoro Road. Sisi...
2 Reactions
106 Replies
11K Views
March 23 mwaka 1994 tabibu mkaguzi(medical examiner) anauchunguza mwili wa marehemu Ronald Opus na kufikia maamuzi kua Ronald Opus alikufa kwa kupigwa risasi kichwani, Hii inatokana na jeraha...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Nilizoea kuwaona hawa Madada poa Dar es salaam,Chalinze, Kahumba - Morogor,na kwingineko.Ila sasa cha ajabu jana katika pita pita zangu nikaona Madada poa wamejipanga pale Mafiat,Nilistuka kwa...
1 Reactions
5 Replies
11K Views
Juhudi za kuuzima moto huo zinaendelea. Kwa Wazazi fikeni Kanisa Katoliki Michungwani ndiko Watoto wote wamehifadhiwa hapo.. Nitawajuza zaidi..... Watoto wote wamenusurika na hakuna vifo...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Definition Of Addiction A. TOM HORVATH, PH.D., ABPP, KAUSHIK MISRA, PH.D., AMY K. EPNER, PH.D., AND GALEN MORGAN COOPER, PH.D. The term "addiction" can mean many things to many people. For our...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Ukisafiri kwa treni hii kutoka Mbeya kuja Dar as Salaam unalipa nauli zaidi ya shilingi arobaini lakini unapewa tiketi inayoonyesha kuwa umelipa shilingi elfu ishirini na Saba. Ukiuliza kwanini...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani I'm sure, Mjumbe hauawi. Dereva wa Tundu Lissu, Simon Bakari anadaiwa kufichwa Mjini Moshi kwa kaka yake M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aitwaye Mfoi Mbowe ambaye ni Diwani katika Kata...
1 Reactions
164 Replies
16K Views
Amani iwe nanyi sasa na hata milele Kwa mawazo yangu hakuna haja ya kuwekeza nguvu nyingi kuendelea kujadili suala LA ushoga, mbona tuna mengi ya msingi? Kwann tusiwekeze nguvu huko? Kabla...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu. Hadi sasa sijajua ni Ng'e, Nyoka, Tandu, au viumbe wengine korofi wasiojulikana. Nimepiga patrol eneo lote tukio liliponipata sijaona hata kiumbe yoyote...
3 Reactions
78 Replies
8K Views
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe ameuagiza uongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) kurudisha mali zote za Shirika hilo ikiwemo viwanja, majengo ndani ya miezi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Watu wa TBC mtuambie mfalme gulicheka ndio nani ? Maana story haiendani na uhalisia. Mhariri wa shabani kissu hakufanya kazi ya uhalili vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nairobi. Juni 21 ilikuwa ni siku ya kawaida kwa Mama Nancy mkazi wa Narok nchini Kenya, lakini ilifichua siri nzito ya mtoto aliyefichwa kwa miaka kumi katika banda la mbuzi. Akiwa katika...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi huwa najiuliza wa tz huwa tunajifunza wapi Mana miaka ya nyuma simu hazikuepo ila zilipotokea mafundi wake wakajitokeza kwa kasi Pikipiki nazo zilipotokea mafundi baskeli wakawa mafundi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasukuma. Wamasai. Barbaig. Nyaturu n.k Hawa jamaa ni wachafu kupindukia. Wananuka infact. Washamba waliopitiliza. Hawajali kama starehe zao ni kero kwa wengine. Yupo radhi kufungulia redio...
6 Reactions
63 Replies
9K Views
JENGO la tatu la abiria na eneo jipya la kutua, kushushia abiria na kuegesha ndege la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), liko mbioni kuanza kutumika huku likitajwa kupaisha...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air. Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano...
10 Reactions
116 Replies
16K Views
Watoto 10 wenye umri kati ya miaka miwili hadi sita wamechinjwa na kukatwa koromeo, sehemu za siri, masikio na ulimi wilayani Njombe mwezi huu. Kutokana na matukio hayo yanayodaiwa kuhusishwa na...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Serikali za Uganda na Tanzania zimekubaliana kuwa, majadiliano mbalimbali yanayohusu utekelezaji wa mradi wa Bomba la mafuta Ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania yakamilike ifikapo mwezi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom