TABATA NA 'MIKATE YA MAANDAZI' TFDA MPO?

TABATA NA 'MIKATE YA MAANDAZI' TFDA MPO?

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
3,435
Reaction score
1,995
Kuna vitafunio vya chai Tabata ambavyo vinaitwa mkate yani 'bread' lakini kiuhalisia ni maandazi au 'jam doughnuts'.
Kifungashio chake kinaweza kufunguliwa na kufungwa ili mteja apewe andazi moja, mawili au zaidi, jambo ambalo ni kinyume na viwango vya kifungashio vya mikate na linahatarisha usalama wa afya za walaji.
Ignefaa wahusika wa badili package ya maandazi hayo kukidhi vigezo husika.
Halafu katika mfuko wa "mkate" wameandika "date of manufacturing......(blank)
Date of expiry.....(blank) maana yake nini? Kwahiyo mtu anaweza kuuza maandazi yaliyopita muda wa kuliwa au akachanganya ya zamani na mapya kwasababu package haina seal.
 
Aisee najiuiza kwani hayo maandazi ya bhakresa huwa yanauzwa je kwa mangi? mfuko mzima elf2 sijui ukitaka moja mia2 unafunguliwa mfuko unapatiwa andazi lako au mimi ndio sielewi?
 
Yanaexpire vipi wakati yakifika jioni asubuhi yameisha,
Watu wa dar ni andazi moja na juice za mo
 
Back
Top Bottom