Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepokea sms kutoka kampuni inayoeendesha michezo ya kubahatisha ili hali ni majuzi tu tuliambiwa wamefungiwa! Je hili katazo limeexpire au? Kiufupi maisha yalikua ni murwa sana bila haya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vijana nawapa hi, bila kusahau wazee! Napenda kukuambia wewe kijana unayelalamika kuwa huna kazi huku mkononi umeshika simu janja kubwa inayoweza kuaccess sites zote kuwa una tatizo. Samahani kwa...
11 Reactions
34 Replies
6K Views
Ukipitia mitandao mingi ya kijamii mara baada ya kikao cha Rais na Viongozi wa Dini kumekuwa na lawama nyingi sana na kuwakosoa Viongozi wa Dini kuhusu hoja walizozitoa kwa Rais kuhusu masuala...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Serengeti. Ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambaye ni mshauri wa mgambo wilaya ya Serengeti mkoani Mara anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha nne...
5 Reactions
34 Replies
8K Views
Ni mara nyingi sana tumekuwa tukihitaji sana baraka kutoka kwa Mungu japokuwa tumekuwa tukikataa kufanya yale yanayoweza kumfanya Mungu atubariki katika maisha yetu. Muda mwingi sana tumekuwa...
3 Reactions
0 Replies
650 Views
Kila binadamu ukimuuliza katika dunia hii kama anamwamini Mungu, atakwambia kwamba kweli anamuamini. Ni sawa, inawezekana hata kwa muovu wa kwanza duniani anamwamini Mungu, lakini swali linakuja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuna matumizi tofauti ya Facebook, leo ngoja nizungumze kwa uchache. • Kuna wale watu waliosikia Facebook kuna mademu wakali, ukiwa huko, utawapata wengi, nao wakajiunga, hawakuja kwa ajili ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tarehe 16 January 2016 Arnold Schwarzenegger alipost picha hii na kusema Time Has Changed. akimaanisha kwamba Muda Umebadilika. Hakuweka picha hii ili mradi tu, aliondoka nyumbani kwake akiwa na...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu pamoja na wenzake 6 waliachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Sababu ya kuachiwa kwao ni baada DPP kusema...
0 Reactions
83 Replies
11K Views
Habari WanaJF! Leo nimekaa nikawaza hivi ni kwa nini kwenye maswala ya kupangishana nyumba kwa kupitia dalali, mpangishwaji ndio anayewajibika kumlipa dalali. Kwanza kabisa tunajua kabisa dalali...
7 Reactions
72 Replies
10K Views
WAKATI wanandoa wasiyokuwa na ulemavu hata wa kidole gumba wakiishi maisha ya kutwangana makonde na kununiana, hali ni tofauti kwa kijana Timotheo Mwazembe aliyeoa mlemavu. Maisha ya ndoa ya...
54 Reactions
257 Replies
30K Views
Tuliambiwa ukuta ukiisha pia minada ya tanzanite itakuwa inafanyika kulekule, wahindi watakuwa wanakuja wenyewe hadi manyara ,mnada unapigwa na nchi inapata mapato makubwa tena tukaambiwa jaipur...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Wakulima wangelijua kuwa nyongeza ya sh. 600 kwenye bei ya wafanyabiashara ya sh. 2,700 ingekuja kuwaponza namna hii wangeliuza korosho zao. Wala hakuna mtu angehakiki mashamba wala kutaka kujua...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amependekeza kubadili mfumo wa utumishi wa mapadre akisema itakuwa vyema iwapo makasisi hao wakaruhusiwa kuanza kuoa. Hata hivyo, imefahamika...
8 Reactions
312 Replies
35K Views
Habari zenu wana JF, leo nataka ku-share na ninyi kuhusu hili neno UKIMWI(wengine husema ugonjwa wa UKIMWI). Kama wengi tunavyofahamu kuwa UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa KInga MWIlini...
7 Reactions
66 Replies
13K Views
Kwa miaka mingi tumekuwa tunapiga kelele kwamba hatutangazi vivutio vyetu vya utalii.Leo nimeona tangazo CGTN likitangaza some of our tourism attractions.Hongereni sana TANAPA, keep it up.Sina...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi sana wa chanels za wanyama na utamaduni kama ilivyo chanel hii mpya ya Tanzania Safari Channel lakin hii yakwetu inaudhi kwa kuscratch. Au ni kingamuzi changu ndio kina shida wadau...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Kituo cha kisasa cha mabasi jijini Dodoma kitakuwa kimekamilika ifikapo mwishoni mwa mwaka huu, imeelezwa. Hayo yalielezwa juzi na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mohammedi Builders, Tahir...
4 Reactions
36 Replies
9K Views
Tokea asubuhi siku ya leo katika eneo Magomeni,mtaa was minaki jirani na ofisi za Tanesco,umeme umekatika Wahusika kila wakipigiwa simu wanaeleza umeme huo umekatika kwa kusababishwa na kunguru...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SERIKALI imetangaza operesheni nchi nzima, itakayowaondoa watu wote walioanza kuvamia maeneo oevu na yaliyohifadhiwa. Imesema watu hao wametafsiri vibaya maelekeo ya Rais Dk John Magufuli kuhusu...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom