Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
Hivi nani anajua walipo wawili hawa: Jacqueline Liana Jane na Mihanji?
Awali wawili hawa walianzia Uhuru na Mzalendo, wakiwa waandishi wa habari. Kwa mara za mwisho Liana alikuwa DC (Magu?) wakati Mihanji akiwa UVCCM baada ya kufukuzwa New Habari Corporation. Wako wapi Liana na Mihanji?