Na bahati kuna fani hata ukiaribu unajua pa kurekebisha
Unapokuwa nesi hii ni wito umebeba maisha ya watu
Nini kimetokea
Tulipeleka mgonjwa Mwanayamala siku nne zilizopita akaonekana...
Najua wenye mamlaka au wanaohusika na Utawala wa UDSM mnapita mitaa hii.
Je mwisho wake ni nini?
Hadi muda huu naandika sijui kama nina sup na sijui nini kinaendelea kwenye akaunti yangu ya ARIS...
Advisor to Chinese Leaders Says Trump Trade Demands Are Ironically Better Long Term for China
President Donald Trump and Chinese President Xi Jinping need to reach a deal to end their trade war...
JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, limezindua operesheni 'Nyakua Nyakua' ambayo itahusisha kuwakamata madereva wanaofanya makosa, kuwaweka mahabusu kabla ya kufikishwa mahakamani...
Kubeti ama kucheza kamari umekuwa mchezo maarufu sana hapa nchini , na unaweza ukasema ni madawa ya kulevya mapya yaliyoibuka.
wachezaji wengi wa mchezo huu huamini kwamba watabahatika...
Waungwana naomba anayefahamu muda utakaotumika Kwa isafiri wa bus kutoka Dodoma kwenda mbeya na nauli za mabasi anaweza kushare apa
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko kwangu ni karibu na mjini kidogo, kama nusu saa iliyopita nimesikia mabomu yakipigwa huko mjini source inasemekana ni waarifu wa utekaji wa watoto unaoendelea hapa mjini maana mpaka sasa...
Nimekuwa nashangaa kila mara ninapotaka kupata taarifa mbali mbali kupitia mitandao ya wizara au idara za serikali yetu basi hukutana na habari zilizopitwa na wakati na ajabu hakuna hata mtu mmoja...
Rwanda, Tanzania Are EAC’s Best Performers on Anti Graft War
January 30, 2019
By Staff Reporter, Dar and Kigali
The Transparency International has ranked Tanzania the second country in East...
Watu nane wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa usiku wa kuamkia leo katika kisiwa cha Ukerewe jijini Mwanza kwenye majibizano ya risasi na Jeshi la polisi.
"Kikosi jasiri kimepambana ana kwa...
Ukipita zanzibar utaona usomaji wao vijana shuleni, shule hazina viwango. Shule nzuri zipo mjini Maghribi kwa kiasi flani na ndizo ambazo zinaibeba zanzibar kimtindo.
Zanzibar haitoshi kielimu...
Kuwa na namba hizi kunaweza kuwasaidia kuwasiliana na hawa makamanda japo imani yetu kwa Polisi imeshuka sana!
NAMBA ZA SIMU ZA MAKAMANDA TANZANIA (RPCs)
MKOA JINA LA KAMANDA SIMU...
Wakuu kwahali ilivyo Sasa Ni hatarii
Wavuvi wamekamatwa nyavu zao zime kusanywa na wao kupigwa fine. Hali nimbaya pale ferry mikoani ndio masikitiko..
Wakitoka kwa wavuvi zamu yanani??
Me naona...
JWTZ limekuwa ndicho chombo pekee chenye mwonekano wa taasisi yenye nguvu isiyo na rushwa wala upendeleo, lakini katika kipindi hiki ambacho ajira imekuwa na kizungumkuti watoto wa ndugu na jamaa...
Natoka safarini Dar naelekea Tanga nikiwa na rafiki yangu jina anaitwa Maalim(Si jina halisi),
katikati ya safari gari inasimama nashuka,
Wakati huo maalim hakushuka! nikiwa narudi kwenye basi...
Imekuwa kama ni kawaida sasa katika mitaa ya Nyasaka wilaya Ilemela mkoa wa Mwanza kuzungumuzia vibaka kwani hakuna ambaye hawajamwingilia katika maeneo hayo
Huku uongozi ukionekana kutochukua...
BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana.
Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni...
Kutokana na kuota kwa maghorofa mengi kariakoo na maeneo mbalimbali. Nikaambiwa na mdau mmoja siri ya kuoteshwa maghorofa hayo kariakoo. Anaripoti ndugu yetu...
Juzi moja nilipokuwa nikijadili...
Baada ya matokeo ya mtihani wa kidat cha nne yaliyotoka mwezi huu wa kwanza 2019 nimebaki na maswali kadha wa kadha kama ifuatavyo....
a] Kwa nini shule za wamiliki binafsi zimeshika namba 1 hadi...
```*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE*
Habari ziwafikie popote mlipo........
Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.