Kuna fununu kwamba kuna wabunge/viongozi wanataka kujizolea ujiko kwa kuwa watu wa kwanza kufikisha janga la kamari bungeni ili lijadiliwe na athari zake kuwekwa bayana. Mwenye taarifa zaidi...
Nataka kujua, mwenye kujua aweze kunijuza
Kabla ya hizi passport mpya kuletwa,kulikua na zile za zamani sasa je kama bado unayo ile ya zamani na mda wake bado haujafika kikomo kuisha,unaweza...
Wiki mbili zilizopita waziri mkuu alikutana na bodi mpya ya mishahara na moja kati ya mambo ambayo bodi inayafanyia kazi ni mashirika na taasisi za umma kujipangia mishahara hali iliyopelekea kuwa...
Haijawahi kutokea lkn kwa mara ya kwanza Rais JPM ameweza kumteua Hakimu hadi kushika nafasi ya Ujaji....hii inaonyesha wazi kuwa Rais wetu yuko macho na makini sana!! Zamani nafasi za uteuzi kama...
Huyu binti wa kikurya namtafuta sanaa alikuwa rafiki yangu kipenzi kweli kweli.
Binti mwenye mwanya , akicheka anakuwa kama anaona aibu hivi.
Yaani enzi hizo siku ilikuwa haipiti bila kuonana...
Asubuhi hii baada ya kumpeleka mtoto shule nikapokea ujumbe huu wa simu:
"Habari ya saa hii mzazi uongozi wa shule tunapenda kukujulisha kwamba mwanao amepatwa na tatizo la ghafla huku shuleni...
Kuna mabadiliko katika mfumo wa kuomba au kurenew leseni za usafiri wa nchi kavu (kwa magari ya biashara) na mfumo huo mpya unahusisha kujisajiri mtandaoni katika tovuti ya sumatra.
Lakini...
Jamani nifanye nn ili niweze kuacha kubet kwasababu mm imekuwa ni zaidi ya madawa
ya Makonda.
Yaani nisipo lala na mkeka ata usingizi sipati nitaangaika sana nakuta nawakopa paka voda m pawa...
Mtajwa hapo juu namtafuta,tulikuwa wote Kibaha mwaka 1999-2001.
Najua huko ulipo unaendelea na biz zako na familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurugenzi wa Shirika linalojishughulisha na masuala ya Kijamii nchini (CCI) Tim Ndezi akiwakaribisha wageni kutoka nchini Kenya waliofika Tanzania kwa ajili ya kujifunza masuala mbali mbali...
Si mbaya kuuliza hasa kwa wakati huu tuko na jemedari wetu mh raisi jpmna mh makonda wa dsr es salam kuhakikisha dar inawala inatakata kila njia
Kuna hii njis ya mugabe kuelekea kituo cha...
"THE LAW OF SUBSTITUTION "
Vyura sita walikua wanatembea kwa kuruka ruka kwenye gogo kubwa lililowekwa juu ya shimo lilichimbwa na binadamu.Bahati mbaya vyura wawili wakatumbukia kwenye shimo...
Mwishoni mwa mwaka Jana tulishuhudia vyama takribani 10 vikijifungia huko Zanzibar' na kuahidi kuja na mkakati kabambe mwaka huu huku wakiahidi kuwa utakuwa ni mwaka wa demokrasia, kikao...
Jeshi la Polisi Mkoani humo limeikamata gari aina ya Toyota Alphad ikiwa inasafirisha mzigo huo haramu kuelekea Mkoani Arusha
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Hamis Issah amesema kuwa...
Habari wana Jf.
naomba kujua faida zinazopatika na kujiunga na M pawa? pamoja na a/c za mitandao mingine pia kama tigo na Voda,mnaojua naomba mtuelimishe kwenye hili.
Mh Rc ametoa mda hadi tarehe 1/3/2019 wafanyabiashara wote wadogo wawe wamepata kitambulisho kwa 20000 tu.
Km hauna hicho kitambulisho hakikisha una leseni ya manispaa au TRA.
Hii nimeipenda...
Jirani yangu mwezi Oktoba mwaka jana alipokea lumpsum payment Tshs. 6m kwenye kazi yake ya mkataba. Kodi aliyolipishwa kutoka kwenye hela hiyo ni 2m! Hii ni roughly 33.3% ya hela hiyo.
Jamani...
Watanzania tunaweza kuwa tunauana wenyewe kwa wenyewe bila kujua kwa tamaa za kupata hela zaidi kwenye bidhaa nyingi.
Tunajiua kwa kuharibu soko, pia tunajiua kwa madhara ya bidhaa na huduma feki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.