Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama ilivyofanyika kwa huyu mtendaji basi ifanyike kwa wale vigogo wengine, maana wachini wanajifunza kwa wakubwa. ================ Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro...
1 Reactions
9 Replies
295 Views
Hii meli mpya kabisa inafanya route zipi? Hii meli nakumbuka tuliambiwa imeanza rasmi safari zake kati ya Mwanza na Bukoba mwezi Sept mwaka jana. Lakini sasa hivi nadhani hii route bado...
2 Reactions
10 Replies
258 Views
Mwamba mfanyabiashara maarufu Tanzania wa mtandanaoni Ibrahim Chenza the king of Oviedo kajiposti kwenye ukurasa wake wa Facebook akituringishia mihuri na visa kadhaa kwenye passport yake. Video...
2 Reactions
25 Replies
542 Views
Anonymous
Je, serikali haioni haja ya kutenga eneo maalumu ambalo garage zote zitakuwa mahala hapo zikiwa na miundombinu rafiki kuwezesha magari kuja kutengenezwa mahala hapo? Hii itasaidia hata Jiji la...
2 Reactions
10 Replies
245 Views
Mdau, unatumia muda gani kwenye matumizi ya AI kwa siku? Kutokana na ukuaji mkubwa wa teknolojia, mitandao imekuwa sehemu muhimu ya kupata ushauri, habari, elimu, burudani pamoja na kujifunza...
2 Reactions
29 Replies
431 Views
Kila mwaka vyama vya wafanyakazi vinasherekea siku ya wafanyakazi yaani mei mosi na sherehe hizi zinaendana na kutengeneza sure hususan Tshirt au kutoa khanga kwa ajili ya kushona. Jambo la...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
Nini hasa kinasababisha mtu mwenye HIV/AIDS kuwa na hasira sana
13 Reactions
264 Replies
3K Views
Kichwa cha Habari Nimechukia sana: Hivi nyie mnaokopeshwa hela mna funza kichwani au tabia zenu ni za kishoga? Wakuu salamu, Nipo na hasira ya kufa mtu na leo situmii ustaraabu hata kidogo. huu...
17 Reactions
56 Replies
891 Views
Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je, unadhani image ya nchi inaonekanaje? Je, na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
6 Reactions
39 Replies
611 Views
Barabara ya Morogoro maeneo ya Kimara “Ukanda wa Gaza” kuna jambo linachanganya kidogo Wakati wa JPM tuliambiwa waliojenga ndani ya mita 60 za barabara wavunje majengo yao. Nyumba zikabomolewa...
1 Reactions
6 Replies
168 Views
Yaani kwa mfano nikachukua wire labda miter 2 au tatu na top plug 2 nikafunga plug moja huku na nyingine huku alafu nikapachikq kwenye swichi socket ya njia 2 alafu nikawasha je!nini kitatokea?
0 Reactions
6 Replies
125 Views
Zamani nilikuwa na marafiki wengi, lakini kwa sasa nina rafiki mmoja wa karibu sana. Wengine waliopo ni watu wa kushirikiana nao kazini au mtaani, ni mahusiano ya kijamii yanayosaidia...
6 Reactions
13 Replies
548 Views
Kaa mbali, acha kihere here😁 eti sijui boga na ua lake, hakuna kitu kama hicho, women are weird, bro.
4 Reactions
13 Replies
217 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa...
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Habari wakuu mimi ni mdau wa elimu kutoka mkoa wa Tanga nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya elimu katika shule ya msingi Makole iliyopo katika halmashauri ya WILAYA Korogwe DC katika kata ya...
1 Reactions
1 Replies
136 Views
Tangu JF ifungiwe kupatikana bila VPN ilipoteza members wengi huku watu wakiogopa kuingia via VPN. Sasa ni kutiririka bila vpn
6 Reactions
11 Replies
259 Views
1. Utangulizi i: Wimbi Jipya la Utumwa wa Kidijitali Ulaghai Mtandaoni: Matangazo ya kazi feki yameshamiri kwenye mitandao ya kijamii. Walengwa Wakuu: Vijana wasomi, wanaojua kompyuta, na...
8 Reactions
10 Replies
380 Views
  • Redirect
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewataka Maafisa Habari, Uhusiano na Mahusiano wa Serikali kuuza huduma zinazotolewa kwa jamii ili umma ujue utekelezaji wa kila siku wa shughuli kwa jamii...
0 Reactions
2 Replies
206 Views
Mk 4:18-19 SUV [18] Na hawa ndio wale wapandwao penye miiba; ni watu walisikiao lile neno, [19] na shughuli za dunia, na udanganyifu wa mali, na tamaa za mambo mengine zikiingia, hulisonga lile...
0 Reactions
4 Replies
105 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…