Uhuru wa vyombo vya Habari

Uhuru wa vyombo vya Habari

  • Thread starter Thread starter Deleted member 536137
  • Start date Start date
D

Deleted member 536137

Guest
Rais anasema kwamba vyombo vya habari vipo huru kutangaza na kila kitu lakini anasahau kwamba chombo cha habari ni waandishi wa habari, Je yeye kama Rais wa nchi amewahi jiuliza kwanini mwandishi AZORY GWANDA mpaka leo hii hajulikani alipo[emoji848] au kwake hilo sio kitu
#ChangeTanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom