Tatu mzuka siku hizi unashinda bila kucheza?

uungwana classic

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
2,301
Reaction score
2,092
Nimepata message asubuhi et nimeshinda na sijawahi cheza na nilipie 16 elfu kudhibitisha wadau ndo uwizi mpya baada ya hela tuma kwenye hii namba au
Screenshot_20190206-062723.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni uboya Ina maana hamuoni kuwa hio meseji imetumwa na namba ya kawaida .asee kweli tumetofautina akili wajinga ndio mliwawo..we unaona kabisa hio Ni namba ya simu binafsi na sio ya kampuni halafu bado huelewi kinachoendelea
 
Polisi kila siku wanatumia msg kama namba hufahamu usitumie hela, au wewe haujapata?
 
Acheni uboya Ina maana hamuoni kuwa hio meseji imetumwa na namba ya kawaida .asee kweli tumetofautina akili wajinga ndio mliwawo..we unaona kabisa hio Ni namba ya simu binafsi na sio ya kampuni halafu bado huelewi kinachoendelea
Lengo nikusaidiana mm binafsi nlishaijua na pia najua tatu mzuka huwa wanakupigia moja kwa moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata message asubuhi et nimeshinda na sijawahi cheza na nilipie 16 elfu kudhibitisha wadau ndo uwizi mpya baada ya hela tuma kwenye hii namba auView attachment 1014661

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wahuni juz walinitumia text Kama hyo ikabidi niwapigie... wakapokea nkawaambia nipo msanga chore nkaongea kwa lafudhi ya kizaramo... Basi wakaniona wakuja wakaanza kuniuliza salio lang la m pesa Na nywila.. Matusi niliyowapa nadhani wanisamehe bure tuu... Kwanza cjawahi cheza huo mchezo hata siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni uboya Ina maana hamuoni kuwa hio meseji imetumwa na namba ya kawaida .asee kweli tumetofautina akili wajinga ndio mliwawo..we unaona kabisa hio Ni namba ya simu binafsi na sio ya kampuni halafu bado huelewi kinachoendelea
Umepaniki mkuu..ujaelewa mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wahuni juz walinitumia text Kama hyo ikabidi niwapigie... wakapokea nkawaambia nipo msanga chore nkaongea kwa lafudhi ya kizaramo... Basi wakaniona wakuja wakaanza kuniuliza salio lang la m pesa Na nywila.. Matusi niliyowapa nadhani wanisamehe bure tuu... Kwanza cjawahi cheza huo mchezo hata siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungewakamatisha kwa polisi hawa wajinga wataliza watu wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom