Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii hapa chini ndio tweet yake yenye swali hilo: Mara nyingi nimewahi kuuliza lakini sijaweza kupata jibu sahihi, “Ni nani anawashauri washauri wa viongozi wetu?”
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naam, ni mwaka 2025, pengine nipo au sipo. Kile kipindi cha miaka 10 mlichokiona kama miaka 100 hatimae ndio kimefikia ukingoni. Kuna mtu aliwahi kusema Afrika haihitaji viongozi shupavu, bali...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Watangazaji wa Clouds tv katika hali inayoonyesha kama kuweweseka wamesema wanashangazwa na tabia iliyoonyeshwa na watangazaji wenzao wa Channel ten ya kuomba Camera kana kwamba camera ndio...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwenu wana JF, Je msio na nafasi za kujihudhurisha katika nyumba za ibada Huwa mna fanyaje, Je umesikia hii? Binafsi ni Mkristo na nimekuwaa katika Ukristo ila changmoto ni kuendelea kuhudhuria...
12 Reactions
28 Replies
6K Views
Wasalaam. Kutokana na heshima iliyopo kwa bendera yetu ya Taifa ikiwa ni miongoni mwa nembo za Taifa zinazotutambulisha kitaifa na kimataifa naona ni jambo la fedheha kutumia bendera zilizo chakaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ndg zangu wana jamii forum kesho nategemea kuanza safari ya kuelekea dar baada ya kumaliza kazi za kiofisi arusha majira ya saa 8 za mchana ,najua kabisa nitafika usiku mnene ,ningependa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuelekea maadhimisho ya siku ya sheria nchini na uliza swali kwa mahakama na wizara ya sheria na Katiba, je? Matumizi ya lugha ya kiibgereza ktk mahakama za wilaya hadi Mahakama ya rufaa ni kwa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
+255769428058 namba ya tapeli kaka shikamoo,pole nakazi je huko wazima? mimi nimeamishiwa KGR BuKoba kikazi tiyar na nafasi zakazi zilizotoka huku ofisini ni 1.uhasibu 2.ukalani 3.ulinzi ngazi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
SISI NI WAJAMAA NA KWETU ITIKADI YA UJAMAA AU UJAMAA NA KUJITEGEMEA NI IMANI Na Humphrey Polepole Tunapoanza Mwaka Mpya wa 2019 nimeona ni vema tukaanza kukumbushana Misingi ya Taifa letu na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imeingiza nchini TRANSFOMA yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240. TRANSFOMA hii itakiongezea uwezo kituo cha Ubungo kutoka MVA 300 hadi 600...
10 Reactions
98 Replies
27K Views
Inshomile rejea mada tajwa hapo juu yahusika. Biblia inasema tutawatambua kwa matunda ya kazi zao.... Kiukweli kati ya miji iliyoduni katika karne hii ya 21 mji wa bukoba siwezi kuacha kuacha...
26 Reactions
234 Replies
28K Views
Jamani admn, hivi ile thread ya Inteview ya zitto ipo wapi ? Sasa tuvumilie tena ?
0 Reactions
100 Replies
13K Views
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amewasilisha maombi mahakamani akitaka watanzania watatu akiwemo Ally Hajji maarufu Shikuba wapelekwe nchini Marekani kujibu mashtaka ya kufanya...
1 Reactions
60 Replies
10K Views
Dar es Salaam. Wezi wa vifaa vya magari jijini hapa wameunda mtandao mzito kama vile wana ‘serikali yao' inayowalazimisha waathirika kuacha kutoa taarifa polisi badala yake kwenda kununua...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
There is something almost comical about what apologists for fascistic intolerance will do to defend the indefensible or to impeach the unimpeachable. The kind of intolerance I am talking about is...
11 Reactions
37 Replies
9K Views
Kampuni ya mafuta Kobil oil Tanzania limited iliyokuwa inamilikiwa na Kilimanjaro oil Tanzania limited subsidiary company ya Delina general enterprises Tanzania limited inayomilikiwa na Davis...
3 Reactions
158 Replies
34K Views
TARIME, MARA: BARAZA LA MADIWANI LAMJIBU MKUU WA MKOA TUHUMA ZA KUFUJA BILIONI 9.5 Baraza hilo lasema kuwa baada ya kupitia taarifa za mapokezi ya fedha kutoka Mgodi wa Acacia tangu 2016 Wasema...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la aliye juu Natumai mu wazima buheri wa afya Nianze kwa kusema binadamu tumekuwa na matamanio ya mafanikio Au ya wengine bila kujua hapo walipo Wamefikaje 1. Marekani ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi c mwanasiasa ila km kuna kitu akiko sawa lazima kisemwe. Leo mh makonda amewaponda wasanii kwamba km ommy dimpoz angekufa wasanii wange andika RIP Ila katoa nyimbo hawajatoa support. Sawa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeona viongozi wengi wanahangaika na kumjibu Tundu Lissu kila pale anapoongea mambo yake ya kupigwa risasi huko majuu akiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama vile BBC ya Uingereza na DW...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom