Rais Magufuli na beji ya ramani ya Afrika

Rais Magufuli na beji ya ramani ya Afrika

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Nimekuwa nikimtazama sana mkuu wa nchi ya Tanzania na kuona mara zote anapovaa suti kwenye kola yake huweka beji yenye ramani ya Afrika ya rangi nyekundu(mara nyingi).

Viongozi waliomtangulia walivaa beji ya bendera ya Tanzania,

Aidha viongozi wa nchi zoote duniani huvaa beji zinazotangaza nchi zao.

Vipi wakuu hii imekaaje?

ges.jpg
Magufuli 23.jpg
MAGUUUUUU.jpg
imgres.jpg
images.jpg
 
Binafs nadhani hakuna shida ,alafu kwani hyo Tanzania ipo bara gani?hyo ni ishara tu ya show love kwa bara letu la Africa na ndo maana hata kwenye our national anthem kuna verse inatajataja Africa na viongozi wake kuwa wabarikiwe na tumeimbaimba Sana tangu tukiwa chekea,
Mungu ibariki Tanzania na Africa kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kujiuliza hii kitu, basi kama ni hivyo mi naona awe anaweka badge mbili ya Tz iwe juu na chini yake aweke hiyo ya Africa
 
Sisi ni waafrika tunaoishi Tanzania. Na rais wetu anaamini hivyo. Kama sisi tunavyoamini.Tuunge mkono imani hiyo.
 
Binafs nadhani hakuna shida ,alafu kwani hyo Tanzania ipo bara gani?hyo ni ishara tu ya show love kwa bara letu la Africa na ndo maana hata kwenye our national anthem kuna verse inatajataja Africa na viongozi wake kuwa wabarikiwe na tumeimbaimba Sana tangu tukiwa chekea,
Mungu ibariki Tanzania na Africa kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
WE JAMAA BHANA MBONA TRUMP HAVAI RAMANI YA NORTH AMERICA?
 
Kaanza zamani kuvaa tangu akiwa waziri katika serikali.zilizopita, msiwe surprised na common issues kama hicho kinembo, ni kawaida tu, anaipenda Afrika yetu sote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom