sure kaka...waliyataka wenyewe...It's time to tell.. . let the world know the truth...
Jr
Mkuu hiyo saa moja na nusu ni saa ipi CAT au EAT. Kwa sababu hard talk always ni saa 0630hrs kwa saa za East Africa, na Dstv mara nyingi saa zao ni Central African Time.Kesho itabidi nichelewe kwenda kwenye kibarua changu sina jinsi..I can't miss to watch this...
asant kwa kufuatilia kwa undani nilichokifanya nimeangalia mda kwenye DSTV yangu kwa mda wa local time ya kwetu yaani TZ..so itakuwa saa moja na nusu ya mda wa BONGOMkuu hiyo saa moja na nusu ni saa ipi CAT au EAT. Kwa sababu hard talk always ni saa 0630hrs kwa saa za East Africa, na Dstv mara nyingi saa zao ni Central African Time.
Hivyo basi hardtalk ni saa 0630 kwa saa zetu bongo.
Napenda sana akiwa na Steven Sackur
Sent using Jamii Forums mobile app
Menu ya DSTV/Schedule yao kwa Bongo ina local time. Matangazo ya events mfano upcoming live football games ndio huwa zina CAT.Mkuu hiyo saa moja na nusu ni saa ipi CAT au EAT. Kwa sababu hard talk always ni saa 0630hrs kwa saa za East Africa, na Dstv mara nyingi saa zao ni Central African Time.
Hivyo basi hardtalk ni saa 0630 kwa saa zetu bongo.
Napenda sana akiwa na Steven Sackur
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali hii, Lissu na upinzani kwa ujumla wawe makini na wauaji wake. Hawapendi kukosolewa na vyombo vyao vinajipendekeza sana kwa ma booss wao.