Polisi Kiteto washikilia 3 kutoka Kilindi waliokaidi agizo la Waziri Mkuu

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
450
225
Jeshi la Polisi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, linawashikilia watu watatu wanaotuhumiwa kufanya uharibifu wa mazingira kutoka kijiji cha Mafisa wilayani Kilindi eneo lenye mgogoro wa mpaka kati ya Kilindi na Kiteto ambalo Waziri Mkuu, Mhe.Kasimu Majaliwa alielekeza lisifanyike shughuli yoyote kutokana na malumbano ya mpaka baina ya pande hizo.
IMG-20190209-WA0079.jpg
IMG-20190209-WA0077.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,373
2,000
1549729799799.png


Mnaenda kukama wananchi waliojichokea kimaisha, mnaacha wakurugenzi wanaoua watu makanisani kwa risasi mchana kweuepe mbele ya watu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom