Wahindi ni wachawi sana, check hii power Bank yao ya asili.

Dejavu

JF-Expert Member
May 31, 2018
1,572
2,000
Leo downtown Dar nimeingia kwenye tower moja maarufu sana na humo kuna ofisi kibao za watu mbalimbali, ofisi zote ziko clean and clear ila ofisi zote za wahindi nilizoingia nilikuta ndulele aka power bank zinaning'ia mlangoni.

Wanapiga fusho tu huko ndani! Nimeshangaa sana afu hawana hata aibu wanafanya yao tu very comfortably bila kumhofia yeyote yule.
IMG_20181108_132512.jpg
IMG_20181108_132527.jpg
IMG_20181108_132411.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,343
2,000
Wakikwambia ni misingi ya dini yao bado utawaita "wachawi"!?..
 

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,052
2,000
wahindi/waarabu huwa hawarembi hadi mikononi wanavaa(ga) mambo ya kuchinja mbuzi/kondoo mchana kweupe mbele ya duka fresh

hukawii kuta mtoto 1 ndondocha alafu anapendwa balaa jua hapo tayariiii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom