Umuhimu wa Kalumanzila!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,705
2,000
Haya mambo tuseme ukweli yameshika sana kasi siku hizi tuache maskhara!! Ila yana usiri mkubwa sana ,Kusema kweli mie mgeni kwenye hiyo sekta sijawahi na wala sitegemei kuingia huko ila naomba wajuvi wa haya maswala watupe japo kaushuhuda maana wenyewe wanasema lisemwalo lipo,hivi ni kweli maisha hayawezi kusonga huko makazini,shuleni,maofisini majumbani n.k bila kuwasiliana na hawa watu??
1549715763078.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom