Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo ni siku ya nne channel za ndani sizioni zile za bure mara ya kwanza nilizani ni kwenye king'amuzi changu tu labda sasa nimefuatilia kwenye ving'amuzi vitatu naona hali hiyo hiyo kwa ambaye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Si kila mwenye mabaka ni chui Jr[emoji769] Kuna wakati hatupaswi kutumia sheria bali tunapaswa kutumia ubinadamu.... Je ni wangapi kati yetu wenye mamlaka na wasio na mamlaka wameitumia hii kanuni?
13 Reactions
24 Replies
3K Views
Wabunge wameridhia kupandisha hadhi mapori ya akiba ya Biharamulo, Burigi, Kimisi, Ibanda, na Rumanyika – Orugundu kuwa hifadhi za Taifa ambayo yatakuwa chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Hifadhi za...
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Aman iwe juu yenu Kuna tukio moja la kutisha sana limetokea nchini kwetu Tanzania Kuna mzungu mmoja alikuwa na mademu wawili mmoja mkenya na mmoja mtanzania baada ya kuwachukua alienda...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
OCD ADUNDWA NA MGOMBEA UBUNGE CCM POLISI WASEMA NI "JAMBO LA KAWAIDA" Katika hatua nyingine, mgombea huyo wa CCM alifika kituo cha polisi na kusababisha sokomoko baada ya kumshambulia kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani huyu jamaa alimtandika makonde OCD kule Maswa, nimesubiri sana kesi siisikii. Lazima tuchukue hatua, la sivyo tutaonekana wote sisi ma**** kwa kumwachia mtu mmoja acheze na sheria.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, Robert Kisena na mwenzake kwa kuwa hawajafika mahakamani kusomewa mashitaka...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Mmiliki wa UDA Bw.Robert Kisena Leo ametolewa kwenye Nyumba ya Wakala wa Majengo Tanzania TBA Kwa kushindwa kulipa deni la pango analodaiwa. Kampuni ya Madalali ya YONO ndio iliyomtoa.
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Boti hiyo ilikuwa ikitokea Zanzibar majira ya sita mchana. May God have mercy on his soul. Kutokana na maadili na miiko ya kiuandishi sitaweka video ya tukio hilo la kusikitisha. ======= Mtu...
2 Reactions
155 Replies
27K Views
Mafao ya wastaafu bado ni kero licha ya Mh Rais kutangaza kuwa amebatilisha asilimia 25, lakini cha kushangaza mstaafu aliyestaafu kuanzia mwezi wa 8, 2018 bado analipwa aslimia 25, Na malipo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Moshi. Samson Conrad (24), ameuawa akidaiwa kukatwa na sime shingoni na Kereto Lekoko katika ugomvi wa kudaiana pete. Akizungumza leo Jumatatu Februari 11, 2019, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Baada ya Kuonekana na kupotea tu akaanza Mbunge wa CHADEMA kupatwa na Ajali na hivi punde amepata Ajali Mbunge wa CCM je hakuna uwezekano huyu Bundi akawa anaenda sasa kwa Sura mkunjo mkunjo na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wadau.. awamu ya mkapa nyumba za serikali ziliuzwa.. maeneo mengi prime areas kama oyster bay, kurasini, masaki etc.. mzazi wangu ni mmojawapo aliyefanikiwa kuuziwa nyumba hizo sehemu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikitishwa na jinsi mtumishi aliyestaafu kuanzia mwezi wa 8 mwaka jana kutolipwa stahiki zake kama ilivyoagizwa na Mh Rais wetu, badala yake mafaao yanalipwa kwa kikokoteo cha 25%. Na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sina nia ya kukashifu dini ya mtu au mtu binafsi ila naomba ufafanuzi. Zinaa inatafsiriwaje katika Uislamu? Kwa Mkristo kufanya ngono nje ya mahusiano ya ndoa ni ama uasherati (in case mmoja wa...
11 Reactions
898 Replies
82K Views
IGP Simon Sirro yupo Live TBC lakini ninachoshangaa mtangazaji Mbozi Katala, haulizi maswali muhimu ya wakati huu, je uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu na lile la kutekwa kwa mfanyibiashara...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Rukwa, Jonas Jackson (34) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumbaka na kisha kumlawiti mtoto wa dada yake aliyekuwa akiishi...
3 Reactions
38 Replies
10K Views
Serikali imetoa agizo kwa watendaji wa Kituo cha pamoja cha Forodha Mpakani- Horohoro, kuwasilisha nyaraka za ujenzi wa Kituo hicho ukiwemo mkataba kwa kuwa miundombinu iliyopo haijakidhi viwango...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya watu wakikuona unapiga picha wana kuona wewe mshamba sana.eidha eneo uliopo ni ngeni kwako,au simu yako mpya. But ukweli aupo hivyo. Uwezi kutengeneza history kama kichwa chako...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…