ya Kisena inakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ya Kisena inakuwaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BIN BOR, Dec 30, 2010.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani huyu jamaa alimtandika makonde OCD kule Maswa, nimesubiri sana kesi siisikii. Lazima tuchukue hatua, la sivyo tutaonekana wote sisi ma**** kwa kumwachia mtu mmoja acheze na sheria.
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ukitaka piga Polisi vaa shati la kijani tu
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Makosa ni kwa wengine,lakini "sisi M" hatuna shda sheria iko kwetu! si ndo wenye "inji"
   
Loading...