Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Mmiliki wa UDA Bw.Robert Kisena Leo ametolewa kwenye Nyumba ya Wakala wa Majengo Tanzania TBA Kwa kushindwa kulipa deni la pango analodaiwa.
Kampuni ya Madalali ya YONO ndio iliyomtoa.
Kampuni ya Madalali ya YONO ndio iliyomtoa.