Zinaa katika uislamu....

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,774
Sina nia ya kukashifu dini ya mtu au mtu binafsi ila naomba ufafanuzi.

Zinaa inatafsiriwaje katika Uislamu? Kwa Mkristo kufanya ngono nje ya mahusiano ya ndoa ni ama uasherati (in case mmoja wa wahusika wa hicho kitendo hana ndoa) au uzinzi (kwa muhusika aliemo kwenye ndoa).

Nyie ndugu zetu Waislamu mnautafsiri vipi uzinzi?
 
...sina nia ya kukashifu dini ya mtu au mtu binafsi ila naomba ufafanuzi. Zinaa inatafsiriwaje katika Uislamu? Kwa Mkristo kufanya ngono nje ya mahusiano ya ndoa ni ama uasherati (in case mmoja wa wahusika wa hicho kitendo hana ndoa) au uzinzi (kwa muhusika aliemo kwenye ndoa).

"Na wala msiikaribie kabisa zinaa(sio tu msifanye bali hata msiikaribie), hakika huo huo ni uchafu na ni njia mbaya kabisa" Qur an Kareem
 
...sina nia ya kukashifu dini ya mtu au mtu binafsi ila naomba ufafanuzi. Zinaa inatafsiriwaje katika Uislamu? Kwa Mkristo kufanya ngono nje ya mahusiano ya ndoa ni ama uasherati (in case mmoja wa wahusika wa hicho kitendo hana ndoa) au uzinzi (kwa muhusika aliemo kwenye ndoa).
Nyie ndugu zetu Waislamu mnautafsiri vipi uzinzi?
Uzinzi ni hali ya mtu kufanya tendo la ndoa na asiyekuwa halali yake ama hajamuoa au hajaolewa naye.
 
Asante sana. Naomba tafsiri ya ndoa kwa mwanaume wa Kiislamu.
Ndoa ni kitendo kinachohalalisha baina ya tupu mbili,yaani tupu ya mwanaume na tupu ya mwanamke,kwa kupitia taratibu maalum,ni kitendo chenye hakina wakati maalum,kina sharti maalum ambazo zikitimia basi ndoa inakuwa sahihi na zisipotimia zharti ndoa haiwi sahihi.
 
Nimemsikia sheikh mmoja akisema kuwa Muislamu (mwanaume) anaweza kuingia ndoa ya muda maalumu (nikah mut'ah) na mwanamke halafu baada ya hapo akamtaliki. Kwa mfano mimi naishi Tanga lakini nikapata safari ya kikazi Kigoma ya wiki moja na huko nikakutana na binti basi tukikubaliana namwambia "bi mdogo nitakuoa kwa siku mbili au tatu maana nitarejea Tanga siku ya tano".

Unaliongeleaje hilo? Ni halali?
 
Hyo ndoa ya mutaa ipo kwa shia mpska leo wanaitumia,kwa upande wangu mimi kwa sasa haifai ksbisa kwa sababu yamekuja mskstazo kukataza jambo hilo.

Lakini mwanzo iliruhusiwa baada ya masahaba kwenda vitani wakakaa mda mwingi huko mpaks wakataka wajitoe nguvu za kiume(wajihasi)ili wasishughulishe na matamanio,mtume akaona hapo watafikia kubaya ndo akaruhusu hiyo ndoa kwa wakati alafu baada ya hapo hakuiruhusu kwa sababu ilikuwa dharula na hali ilifkia hivyo.

Kwa wakti huu wapo wanaokubali ila kwa upande wetu wengi hatuikubali hiyo ndoa.

Lakini hiyo mutaa bado wahusika wanakuwa ndani ya ndoa ila shida yake ni huo mkataba ndiyo shida ilipo

Kuna aya inayokataza au wewe umeamua kuikataa? Na kama hakuna aya huoni kuwa unakiuka ulichoamrishwa?
 
Mimi uislamu wangu ni wa aya na hadithi,sikamati aya peke yake niaziwacha hadithi.ama nikamate hadithi peke yake niziwache aya.

Kwa hivyo kigezo cha kutokuwepo aya hakimati sana upande wangu kwa kuwa aliyeteremshiwa hizo aya nayeye ana nafasi ya kufuatwa kama aya zinavyotaka afuatwe.

Weka aya ambayo imeruhusu
Alafu weka aya ambayo imelazimisha.mana usije changanya kati ya uruhusa na ulazima.

Kwa hiyo kuna hiari ya kufuata au kutofuata jambo katika Uislamu?
 
Hyo ndoa ya mutaa ipo kwa shia mpska leo wanaitumia,kwa upande wangu mimi kwa sasa haifai ksbisa kwa sababu yamekuja mskstazo kukataza jambo hilo.

Lakini mwanzo iliruhusiwa baada ya masahaba kwenda vitani wakakaa mda mwingi huko mpaks wakataka wajitoe nguvu za kiume(wajihasi)ili wasishughulishe na matamanio,mtume akaona hapo watafikia kubaya ndo akaruhusu hiyo ndoa kwa wakati alafu baada ya hapo hakuiruhusu kwa sababu ilikuwa dharula na hali ilifkia hivyo.

Kwa wakti huu wapo wanaokubali ila kwa upande wetu wengi hatuikubali hiyo ndoa.

Lakini hiyo mutaa bado wahusika wanakuwa ndani ya ndoa ila shida yake ni huo mkataba ndiyo shida ilipo
Ndg yangu hivi huna hata chembe ya uoga?
Hii ni dini ndg na Anasema Bukhari (Allah amuwie radhi) Elim itangulie kabla ya kauli na vitendo.
Kuna sehem nimekunukuu kuwa" kwa mtazamo wako wewe"
Sasa hata Mtume swalallah alayh wasalam hakuwahi hukumia jambo lolote kwa matamanio ya nafsi yake.
Kwahiyo ndg yangu tukae tusome.
 
Kwa hiyo kuna hiari ya kufuata au kutofuata jambo katika Uislamu?
Yapo baadhi hiari kufuata kwa sababu ni ruksa ama sunna kama vile kuoa wake zaidi ya mmoja sio lazima kufuata n.k na hayo ndo tumeambiwa hakuna kulazimishana katika mambo kama hayo ni hiari ya mtu kuyafanya.

Na yapo mambo ambayo ni lazima kuyafata ambayo ndio mambo makubwa katika uislamu kama vile kufunga na kusali n.k
 
Mimi uislamu wangu ni wa aya na hadithi,sikamati aya peke yake niaziwacha hadithi.ama nikamate hadithi peke yake niziwache aya.

Kwa hivyo kigezo cha kutokuwepo aya hakimati sana upande wangu kwa kuwa aliyeteremshiwa hizo aya nayeye ana nafasi ya kufuatwa kama aya zinavyotaka afuatwe.

Weka aya ambayo imeruhusu
Alafu weka aya ambayo imelazimisha.mana usije changanya kati ya uruhusa na ulazima.
Safuha

Ilikuwa inatosha Chief,kutoa dalili,haijalishi aya au hadithi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndg yangu hivi huna hata chembe ya uoga?
Hii ni dini ndg na Anasema Bukhari (Allah amuwie radhi) Elim itangulie kabla ya kauli na vitendo.
Kuna sehem nimekunukuu kuwa" kwa mtazamo wako wewe"
Sasa hata Mtume swalallah alayh wasalam hakuwahi hukumia jambo lolote kwa matamanio ya nafsi yake.
Kwahiyo ndg yangu tukae tusome.

Ndio maana nikamuuliza amepata wapi uhalali wa kulikataa jambo lililopo kwenye maandiko halafu bado akajiita muislamu?
 
Wewe unachopinga kitu gani hasa katika maneno yangu?

Mimi nimezungumza kwa mujibu wa hiyo kauli ya imamu al bikhaariy العلم قبل القول وعمل

Sasa wewe ndo uniambie kwamba katika niliyosema yapo ambayo sio sahihi kwa sababu kadhaa na kadhaa sio unaniambia tuu nikae nisome akhy mkarimu.
Tujadiliane kwa uzuri tuu ndugu
Ndg yangu hivi huna hata chembe ya uoga?
Hii ni dini ndg na Anasema Bukhari (Allah amuwie radhi) Elim itangulie kabla ya kauli na vitendo.
Kuna sehem nimekunukuu kuwa" kwa mtazamo wako wewe"
Sasa hata Mtume swalallah alayh wasalam hakuwahi hukumia jambo lolote kwa matamanio ya nafsi yake.
Kwahiyo ndg yangu tukae tusome.
 
Yapo baadhi hiari kufuata kwa sababu ni ruksa ama sunna kama vile kuoa wake zaidi ya mmoja sio lazima kufuata n.k na hayo ndo tumeambiwa hakuna kulazimishana katika mambo kama hayo ni hiari ya mtu kuyafanya.

Na yapo mambo ambayo ni lazima kuyafata ambayo ndio mambo makubwa katika uislamu kama vile kufunga na kusali n.k

Lakini huna hiari ya kusema (kwa mfano), kuoa mke zaidi ya mmoja na kufanya ndoa ya muda mfupi ni vibaya.
 
Back
Top Bottom