Afisa wa TAKUKURU mbaroni kwa kumbaka mtoto wa dada yake


Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
1,869
Likes
4,529
Points
280
Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
1,869 4,529 280
Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Rukwa, Jonas Jackson (34) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumbaka na kisha kumlawiti mtoto wa dada yake aliyekuwa akiishi naye.Ofisa huyo alikamatwa Februari 7, 2019 baada ya mtoto huyo kwenda kuripoti kituo kikuu cha polisi mjini Sumbawanga kufuatia kuchoka kufanyiwa vitendo hivyo.


Kamanda wa polisi Mkoa wa Rukwa, George Kyando amethibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa leo Jumatatu Februari 11, 2019 baada ya mlalamikaji mwenye umri miaka 18, kwenda polisi kutoa taarifa ya vitendo vya unyanyasaji anavyofanyiwa.Msichana huyo amedai amekuwa akifanyiwa vitendo hivyo na mjomba wake tangu Septemba, 2018.
Amebainisha kuwa mtuhumiwa huyo mara kwa mara anapotoka kwenye starehe zake na kurejea nyumbani akiwa amekunywa pombe alikuwa na tabia ya kumnywesha pombe, kuanza kumbaka na kumwingilia kinyume na maumbile.Kamanda Kyando amesema mtuhumiwa huyo anashikiliwa na polisi na muda wowote atafikishwa mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtemi mpambalioto

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
1,468
Likes
2,156
Points
280
Mtemi mpambalioto

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
1,468 2,156 280
huyo wampe 35
 
moto wa maji

moto wa maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
3,676
Likes
2,110
Points
280
moto wa maji

moto wa maji

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
3,676 2,110 280
Aiseehh ,yani ukoo ushamtenga tayari
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
541
Likes
372
Points
80
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
541 372 80
So sad unyanyasaji kwa watoto wa kike umekithili
 
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
12,895
Likes
27,112
Points
280
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
12,895 27,112 280
Kuna wakati unawaza ni afadhali ukaishi na chui ndani ujue huyu mnyama hata akikurarua utasema ni mnyama hana utashi...kuliko binadamu mwenzio,anaweza kukufanya jambo ukabaki mdomo wazi usiweze kuufunga...
 
Counsellor Sima

Counsellor Sima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
353
Likes
339
Points
80
Age
48
Counsellor Sima

Counsellor Sima

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2016
353 339 80
Naanzaje mie kumuacha mwanangu kwa ndugu halafu ni mlevi....Laiserfair parents
 
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
10,503
Likes
4,954
Points
280
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
10,503 4,954 280
Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Rukwa, Jonas Jackson (34)

Mtumishi wa serikali anatakiwa kuwa na majina matatu, tuongezee hilo la tatu
 
Akwota

Akwota

Senior Member
Joined
Dec 15, 2016
Messages
136
Likes
78
Points
45
Age
49
Akwota

Akwota

Senior Member
Joined Dec 15, 2016
136 78 45
Kuna vitu ukifikiria unaweza kushindwa hata kutembea.


Sent from Nokia 7 Plus
 

Forum statistics

Threads 1,262,514
Members 485,585
Posts 30,124,591