Kuna ' connection ' gani hapa baada ya ujio wa Bundi Bunge?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,634
2,000
Baada ya Kuonekana na kupotea tu akaanza Mbunge wa CHADEMA kupatwa na Ajali na hivi punde amepata Ajali Mbunge wa CCM je hakuna uwezekano huyu Bundi akawa anaenda sasa kwa Sura mkunjo mkunjo na vipele vipele na Chama chake na hatimaye akamalizia kwa Mr. Komwe Ubishi na Samaki wake anaoshinda nao 24/7?

Nawasilisha.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,634
2,000
Kwa sisi watu wa Pwani, Bundi akiingia sehemu ambayo hutegemei kama angeweza kufika, yamkini lazima kuna jambo la kutamausha litatokea..Tusubiri yatakayojiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Mkuu hawezi akamalizia kwa Sura Mikunjokunjo na Vipele Vipele ili kuhitimisha Chama chake cha Tatu kisha mwishoni kabisa Kazi ya Bundi Bunge ikamalizia kwa Mr. Komwe Ubishi na Samaki zake za jirani? Nahisi hizi Ajali mbili za hawa Wabunge wawili ni ishara tosha kuna ama Mtu au Kikundi cha Watu ' dhahama ' yao pengine kutokana na ' dhambi ' zao inawakaribia.

Halafu mbona tokea Bundi Bunge atokee pale Dodoma Mr. Komwe Ubishi na Mr. Matege Kithethe wamekuwa Kimya, Wapole na hawaonekani sana? Kulikoni Mkuu?
 
wilbald

JF-Expert Member
Dec 17, 2007
1,803
2,000
A group of owls is known as Parliament....kuna uwezekano mengine yalikuwa yanafuata nyuma kuhudhuria vikao vyao.
 
Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
20,415
2,000
Hapo lazima wawe wapole huku wakitafakari kuona itakuwaje sasa ni kama wanasema na kujiuliza zama zetu zinakaribia ukingoni kama KANU?

Na kama utakumbuka vizuri siku ile Bundi alitinga ndani Mr Mic alionekana kuaminisha umma kwamba hakuna tatizo.

Lakini kwa upembuzi yakinifu wa nyoyo za watu imebainika kuwa ile ilikuwa Kulazimisha Moyo Furaha lakini kwa ndani moyo wake hana furaha kwa yule Bundi.
Vipi Mkuu hawezi akamalizia kwa Sura Mikunjokunjo na Vipele Vipele ili kuhitimisha Chama chake cha Tatu kisha mwishoni kabisa Kazi ya Bundi Bunge ikamalizia kwa Mr. Komwe Ubishi na Samaki zake za jirani? Nahisi hizi Ajali mbili za hawa Wabunge wawili ni ishara tosha kuna ama Mtu au Kikundi cha Watu ' dhahama ' yao pengine kutokana na ' dhambi ' zao inawakaribia.

Halafu mbona tokea Bundi Bunge atokee pale Dodoma Mr. Komwe Ubishi na Mr. Matege Kithethe wamekuwa Kimya, Wapole na hawaonekani sana? Kulikoni Mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom