Mzungu aliyechukua wanawake wawili hadi kwake kisha kuwashushia makonde atiwa pingu

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,957
2,000
Aman iwe juu yenu

Kuna tukio moja la kutisha sana limetokea nchini kwetu Tanzania

Kuna mzungu mmoja alikuwa na mademu wawili mmoja mkenya na mmoja mtanzania baada ya kuwachukua alienda kuwakwichi kwichi wote wawili kitanda kimoja baada ya kumaliza kuwakichwi kwichi aliwapiga ngumi za kutosha, inavyosemekana mzungu alipembeza vitasa vya kutosha usiku mzima had majiran wakajaa nje na kupiga cm polis

Polis wamekuja asubuh na kukuta wale wadada wameumizwa vibaya

Polis wamemdaka mzungu na kumtupa kwenye karadinga tiar kwa safar ya kwenda polis

Ingawa wadada hawo wanakataa kuwa hawajafanya mapenz na muzungu lakin wanaonekana kabhisa kuwa walifanya

Huyo mzungu ashitakiwe na kisha atupwe lupango

NYIE WANAWAKE SIYO KILA MZUNGU NI MTU WENGINE VICHAA TU alafu achen upuuz na mkome kabisa maana mkiona ngoz nyeupe huwa mnawehuka utazan mumeona Alma's

Mkome maana kila siku ishakuwa wazungu wana true love Mara kameenda kamerudi upuuz mtupu shenzy zenu kumadako


LONDON BOY
Screenshot_20190212-181714.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
38,799
2,000
Hahaa Vitasa tena ?? Duh!! Ina maana alikuwa anawala huku anafikiria dola zake anazo wahonga ..so roho imemuuma kwanini achunwe !!!
 

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
9,654
2,000
Huyu anatakiwa apelekwe Segerea akakunje kirago mwezi mmoja akitoka huko ndio asomewe shitaka. Hawa watu wakiwa kwao wakuda sana hawa.
 

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
3,982
2,000
Mkenya aende kwao mtanzania achukue ngoma hiyo,alafu mkuu una namba za huyo mwenye kijigauni cha njano?
 

Roy kimei

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
486
500
Tatizo njaa mkuu. Miaka ya tisini alikuwepo mzungu mmojahuko masaki, akishamaliza kugegeda Dada zetu wenye njaa hawa, anakaribisha mbwa wake nao wafaidi nyama tamu za kibantu hizi. Kizuri kula na nduguyo, ka huna ndugu basi sio mbaya ukala hata na mbwa wako .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom