Umuhimu wa picha na matukio ya kustajaabisha

mchonjoya

Member
Aug 17, 2016
61
125
Kuna baadhi ya watu wakikuona unapiga picha wana kuona wewe mshamba sana.eidha eneo uliopo ni ngeni kwako,au simu yako mpya. But ukweli aupo hivyo. Uwezi kutengeneza history kama kichwa chako hakivuti picha ya matukio yalio pita.

Kuvuta picha kihisia ndo kunafanya uweze kusimulizi vizuri mambo ulio yaona tkt harakati zako za kimaisha. Wenzetu walio endelea zaidi kielimu wakatengeza picha ili kutuza history zao na kutoa hali ya kufikilika,pindi unapo toa maelezo au history ya maeneo,uliopo,matukio ulio lkutana nayo nk.

Kuweka picha katika habari yako unayo iyelezea inawafanya watu kuamini tukio hilo kwa maana linaoneka kwa macho.habari hyo inakua na mashiko zaidi kuliko ya kusadikika.

Pia picha ni history isio futika,kizazi na kuzazi wataikuta na kuelewa kiundani zaidi ikiwa na maelezo. Binafsi napenda sana kupiga picha aiyajarishi Niko wapi.

Tuweke kumbukumbu za picha kwa watoto wetu ili waelewe zaidi nyendo za wazazi wao. Picha inatoa taswira ya wewe ni mtu wa aina gani kulingani na muonekano wa wakati huo. Pia picha itakufa ukumbuka matukio ya mwisho ktk siku hio.iwe mbaya au mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom