Baada ya kukwangua ukoko kwenye akaunti yangu ya CRDB. Imebaki kama elfu kumi na mbili hivi ambayo CRDB wameing'ang'ania.
Available balance inasoma buku mbili wakati actual balance inasoma elfu...
Sasa ni wakati muafaka kujitolea viungo vyetu vya mwili tunapo kuwa tumeaga dunia, ili kusaidia wengine wenye uhitaji kama vile figo mikono n.k
Hii itasaidia kuokoa fedha nyingi ambazo...
Sina mengi zaidi, Mimi ni mmoja wa vijana wa ki-Tanzania, Hua natamani Tanzania iwe moja ya wagunduzi wa mitambo mbali mbali,
Watu ambao wangesaidia kugundua ni pamoja na watalam wa VETA cha...
Wananchi wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mbalizi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, wameingiwa na hofu baada ya kuibuka wimbi la ubakaji wa watoto unaotekelezwa na watu wasiojulikana huku vitendo...
Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Arusha, limependekeza kutungwa sheria ndogo ili kuwabana wafanyabiashara wa nyumba za kupangisha ili waweze kulipa kodi na kuwa chanzo muhimu cha mapato kwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepongeza juhudi za Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kusaidia wakulima wadogo nchini hali inayoongeza...
Habari wana JF
Naomba niende moja kwa moja kweny mada. Suala la usafi ni jambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu kwani humuepusha na magonjwa mbali mbali. Kama ilivyo katika maeneo mbali...
Leo nataka nikujuze jambo juu ya mifumo miwili ya gari lako
1. Mfumo wa maji kwa ajili ya upozaji
2. Mfumo wa oil kwa ajili ya ulainishaji
Mifumo hii miwili imewekwa kwenye gari kwa ajili ya...
Wanabodi asalaam!! Jana nilikuwa bodi ya mikopo kujua kama marejesho yangu wanaingiza. Cha ajabu hawajaingiza mchango na amount ninayodaiwa i mean iliyoletwa ofisini nikatwe ni tofauti na ile...
Afrika ilipoteza wana mapambano wawili kwa mpigo, Afrika imeshudia kumpoteza Kofi Annan Katibu Mkuu wa kwanza mweusi kutoka Afrika hii ni pigo kwa wana mapambano wa haki duniani. Lakini mapema...
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amekutana na Wakulima na Wawekezaji wa zao la parachichi katika Wilaya ya Rungwe, Mkoani Mbeya. Mkutano huo ambao pia ulihudhuriwa na...
Naomba kujua nitumia njia gani kuwaangamiza jumla jumla hawa wadudu wabaya Mende?...nafanya kila usafi lakini bado wameniganda tu ndani.
Najua wapo wenye kuhitaji msaada huu pia.
Sent using...
Pamoja na kwamba inachekesha lakini ukiangalia ni sawa na wale wapambe wa Magu ambao pamoja na kwamba kuna muda huwa anatoa kauli za ajabu na kutatanisha lakini wapambe wake huishia kusifia na...
Kuna time tulikuwa Zambia kikazi pale Lusaka sehemu moja hivi inaitwa Nyumba Yanga na kuna Mzee alikuwa ana jina linachekesha sana kwa tafsiri ya kiswahili ila kikwao huyu mzambia ilikuwa fresh...
Matukio hutunzwa ktk picha nk...
Maiti hutunzwa...
Maji hutunzwa...nk nk
Sasa najiuliza inawezekana kutunza harufu?...kwa matumizi ya baadae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea kichwa cha habari hapo juu kisha upitie hapa kujielimisha zaidi.
Alamsiki.
Je, unafahamu ni vitu gani vingine vinavyotumia gesi kuzalisha nishati na kujiendesha mbali na majiko ya gesi...
Kila mwaka kumekuwa na malalamiko kutoka kwa Walimu kuwa baadhi ya Wanafunzi hawajui kusoma na kuandika.
Ni wakati sasa Waziri wa Elimu apite baadhi ya shule za kata hasa za ukanda wa Pwani na...
Habarini wakuu,
Si kwamba dada Nancy Lema mkazi wa Mwanza amefanya jambo la ajabu sana, lahasha!! Ila angalau amewafuta tongotongo wasomi wengine nchini wenye level za shahada kuendelea ambao...
Kwanini hizi balozi zimeamua kupiga mnada assets zake zilizo Tanzania.
Alafu kwa uelewa wangu, hawa jmaa assets zao huwa wanazitoa kwenye serikali kama msaada na sio kuziuza.
Hivi karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.