Wanabodi asalaam!! Jana nilikuwa bodi ya mikopo kujua kama marejesho yangu wanaingiza. Cha ajabu hawajaingiza mchango na amount ninayodaiwa i mean iliyoletwa ofisini nikatwe ni tofauti na ile iliyopo kwao Ukiwauliza hawana jibu wanakutizama tu..wanachosha sana hawa watu Serikali ipasafishe hapo bodi ikiwezekana hata boss wao....why system zao hazicommunicate na kule unakokatwa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app