Nini kinaendelea Ubalozi wa Finland, Norway, Switzerland, UN, UE na WB

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Kwanini hizi balozi zimeamua kupiga mnada assets zake zilizo Tanzania.

Alafu kwa uelewa wangu, hawa jmaa assets zao huwa wanazitoa kwenye serikali kama msaada na sio kuziuza.

Hivi karibuni Rwanda umimeachiwa magari ya kijesh ya UN bure kabisa. Kwanini sasai tunauziwa?
Screenshot_20190216-154735_WhatsApp~2.jpeg
IMG-20190216-WA0003.jpeg
IMG-20190216-WA0004.jpeg
IMG-20190216-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom